Jaji Warioba aishiwa nguvu na kudondoka wakati anahutubia leo Septemba 7, 2026

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
Jaji Mstaafu Joseph Sinde Warioba amepata changamoto ya kiafya wakati akihutubia katika mkutano ulioandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) chenye wanachama wanaojumuisha CCM, CHAUMA, ACT Wazalendo, pamoja na NCCRA Mageuzi, leo Septemba 7, 2026 ambapo wamekutana kuzungumza hali ya demokrasia Tanzania na matukio ya wakati wa uchaguzi na baada ya Uchaguzi Oktoba 29, 2025.

Walioba alianguka na kupatiwa huduma ya kwanza lakini baada ya dakika kadhaa badaye akafanikiwa kusimama na kusaidiwa kutolewa nje ya ukumbi huo akiwa anatembea kwa kushikiliwa.
 
Wazee wana tamaa sana ,umri huo si watulie tu ...Hata Rais alitakiwa awe chini ya miaka 60 ,wazee ni gharama sana ;wana changamoto za kiafya...Mwingine ,miaka zaidi ya sabini ila kila siku yuko safarini ,hata pesa wanazopata wanapeleka wapi?

Wazee wanahesabika ni kundi tegemezi ,sasa kwa nn wasiacha vijana hizo nafasi?
 
Ok.
Pole Mzee,
Nafahamu ulikua ukiugua hivi majuzi tu, huenda bado afya haijaimarika vizuri.

Get well soon Mzee 🐒
 
Nimeipenda comment yako.
 
Wampumzishe huyu mzee kwa sasa umri umesogea...

Hapa ni kama kuna kitu kilimtembelea katika ulimwengu usioonekana, ni yeye tu ndiye alikuwa anakiona na kukishangaa na sekunde chache mbele akadondoka kama mzigo...

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…