Jaji Warioba aishiwa nguvu na kudondoka wakati anahutubia leo Septemba 7, 2026

Jnumbe umfikie mzee masato wasira.
Hao wote walitakiwa baada ya miaka 60 watulie ,wana pension ila wana tamaa kinoma ..Nchi yenye ukosefu wa ajira wazee wanakaba kona ,serikali wanadanganya umri kabisa.

Kizee hata kuona ni shida mpaka kutembea ,kanakuambia kama miaka 55 . Leo ofisini kesho kaenda hospital.
 
Ndio wanamuweka kwenye hatari Kama mtu anataka maoni yake wamfute nyumbani
 
Kuna Mtu anacheka hapo kwenye picha, sijajua kilichomfurahisha ni nini.
 

Wassira anatakiwa kuwa mfano.
 
Pole sana waziri mkuu mstaafu. Uendelee kuwa na afya iliyoimarika
 
Wassira anatakiwa kuwa mfano.
Si mpaka hawataki ,tamaa mbya mpaka unashtuka unaingia kaburini...Yaani kulitakiwa watu wenye miaka 60 watoke kwenye uzalishali labda kama ni wamiliki wa viwanda ...Wenzetu wakifika miaka 50 wanaanza kuwapa watoto wao waendeshe biashara.

Huku mzee wa miaka 70 anajifanya ana tamaa .
 
Asante Mungu hawa wazee ndio wamebaki kutupigania ni wamejitoa tu maana wao wala hawahitaji mali tena
 
Wampumzishe huyu mzee kwa sasa umri umesogea...

Hapa ni kama kuna kitu kilimtembelea katika ulimwengu usioonekana, ni yeye tu ndiye alikuwa anakiona na kukishangaa na sekunde chache mbele akadondoka kama mzigo...

View attachment 3665119
KWa mtu aliyezoea kufanya kazi, kupumzika na kukaa nyumbani ni hatari zaidi.
 
Umefika sasa muda wa kupumzika mzee wetu Warioba nia iliyojengeka ndani yako nadhani Kila mmoja anaijua..lengo lako Kila mmoja analijua lkn huwezi kushindana na umri ni ngumu kwako kwa sasa...tulia tunza afya yako hiyo hiyo uliyokuwa nayo naamini watanazania wengi wanajua nia yako ya dhati kwa taifa hili.


Mzee pumzika sasa inatosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…