Jaji Warioba aishiwa nguvu na kudondoka wakati anahutubia leo Septemba 7, 2026

Akili inataka ila mwili unakataa,
Ni vita kati ya akili na mwili.
 
Ni uchungu na taifa lake, kuna kitu anakiona hakiendi sawa.
 
Ooh! Very sad!
Nawapongeza hao waliomuwahi wakamdaka kabla hajaanguka! Kama angepiga kichwa chini,kama Taifa tungekuwa tunazungumza mengine.
Nafikiri mzee apumzike siasa,yatosha kwa yale ambayo Mungu alimtuma kulionya Taifa letu.
Niseme tu damu ya Taifa hili haitatakwa mikononi mwake.
Mungu ni mwema atamrudishia afya yake.
 
Mungu akuimarishe Mzee wetu, we still need you
 
Siyo poa.
Pole sana mzee wetu Jaji Joseph Sinde Warioba
 
Huyu mzee angepumzika,hekaheka za hivi za nini?
 
Naibu Mwenyekiti wa mboga mboga,Bado yupo Tena kazini!
 
Wenzenu kina nani? Toa mfano.

Unafahamu umri wa kustaafu wa nchi kama marekani?

Unamzungumzia Warioba ukisema “watu wenye miaka 60 watoke kwenye uzalishaji, huo mfano wako una relevance gani?

Au ni chuki zimekupofusha?
 
Duuh sio kweli ..si alikua Manning ila mzee alikua na nafasi kubwa aiseee sasa huyu Mzee sijui anatoa wapi ujasiri sasa wa kuwananga waliopo kua wanayo Katiba mbaya?
... kama nilikosea basi alikuwa mwanasheria mkuu wa serikali na alichangia sana kuleta katiba mbovu!
AK47 NI MBAYA MIKONONI MWA ADUI TU, IKIWA KWAKO POA!
 
Hataondoka kabla ya kuona matokeo ya juhudi zake.
 
Msitafute wachawi...
Ni uzee tuu na kuchoka
Mungu atamrejeshe afya njema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…