Jaji Warioba atamani uchaguzi huru na wa Haki , Hataki uchafu wa 2019/2020 ujirudie

Jaji Warioba atamani uchaguzi huru na wa Haki , Hataki uchafu wa 2019/2020 ujirudie

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Mzee Warioba ameyasema hayo alipohojiwa na Gazeti la Mwananchi .

Screenshot_2024-04-08-23-26-59-1-1.png

Wakati Warioba akiyasema haya , mwenyekiti wa Chama chake Samia Suluhu amekwisha saini sheria kandamizi za uchaguzi huo

Sheria zenyewe hizi hapa

Screenshot_2024-04-07-17-06-49-1-1.png
 
Tanzania haijawahi kuwa na uchaguzi huru na wa haki hata mara moja. Kinachotofautiana ni kiwango cha uharamia. CCM haijwahi kuwa na wema wowote kwa mtanzania linapokuja suala lademokrasia na haki.

Iwe wakati wa Mwinyi, Mkapa, Kikwete au Magufuli, CCM ilibakia ni shetani yule yule anayebadilisha tu kiwango cha uovu. Watawala wote hawa walikuwa watumishi wazuri wa shetani. Mkapa alijutia uovu alioutenda miaka michache kabla ya kumaliza safari yake Duniani, na aliliweka wazi hilo kwenye kitabu chake. Kikwete ameamua kuishi na dhambi yake bila kujuta kama alivyofanya yule rafiki yake haramia wa Zanzibat, bwana Jecha Salim Jecha. Samia ameamua kuwa mtumishi mwaminifu wa shetani kwa kusaini sheria za kishetani ambazo zitamsaidia kubakia kwenye utumishi adili wa sheyani.

NB: kutotenda haki au kuweka mazingira ya kuzuia haki kutendeka, ni ushetani.
 
Kwa nini kataja 19/20 tu?

Ni lini chaguzi zetu zimekuwa za huru na haki chini ya tume za uchaguzi ambazo huundwa na wenyeviti wa CCM?

Hajawa mkweli kikamilifu hapo!
Nadhani ametaja miaka hiyo kwa vile ndio kipindi ambacho wagombea wa Upinzani walionekana Wahaini
 
Mzee Warioba ameyasema hayo alipohojiwa na Gazeti la Mwananchi .

View attachment 2958326

Wakati Warioba akiyasema haya , mwenyekiti wa Chama chake Samia Suluhu amekwisha saini sheria kandamizi za uchaguzi huo

Sheria zenyewe hizi hapa

View attachment 2958330
maoni na mtazamo wake ni nzuri sana, na kama nchi kadiri tunavyoendelea mbele ndivu tunavyo fanya vizuri zaidi....

maandalizi ni mazuri sana, na kwakweli watakao jieleza vizuri kwa wanainchi na kutumia vizuri fursa ya uhuru na haki ya mikutano ya kisiasa na kujieleza, wanaweza kuanza kufanya vizuri uchaguzi wa serikali za mitaa 🐒

kwa maandalizi ya wazi kabisa ambayo tayari yamefanyika, hakuta kua na visingizio tena vitakavyokua na tija ati mwingine kaiba kura za mwigine, kuzira , kugoma au kususa 🐒
 
Kwan n uchaguzi gn mliwahi kushinda mpaka mseme tuu khs huo wa 2020
 
Kwa nini kataja 19/20 tu?

Ni lini chaguzi zetu zimekuwa za huru na haki chini ya tume za uchaguzi ambazo huundwa na wenyeviti wa CCM?

Hajawa mkweli kikamilifu hapo!
Hapa ndipo unafiki wa siasa unapojitokeza.
 
Kwa nini kataja 19/20 tu?

Ni lini chaguzi zetu zimekuwa za huru na haki chini ya tume za uchaguzi ambazo huundwa na wenyeviti wa CCM?

Hajawa mkweli kikamilifu hapo!
Kwa sababu 19/20 iliwekq rekodi ya wagombea wa upinzani na wagombea wengi zaidi kupita bila kupingwa
 
Back
Top Bottom