Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Nadhani ametaja miaka hiyo kwa vile ndio kipindi ambacho wagombea wa Upinzani walionekana WahainiKwa nini kataja 19/20 tu?
Ni lini chaguzi zetu zimekuwa za huru na haki chini ya tume za uchaguzi ambazo huundwa na wenyeviti wa CCM?
Hajawa mkweli kikamilifu hapo!
Kwa sheria za kijinga kama hizi, vyama vya upinzani kushiriki chaguzi nchi hii ni kujidhalilisha.Sheria zenyewe hizi hapa
maoni na mtazamo wake ni nzuri sana, na kama nchi kadiri tunavyoendelea mbele ndivu tunavyo fanya vizuri zaidi....Mzee Warioba ameyasema hayo alipohojiwa na Gazeti la Mwananchi .
View attachment 2958326
Wakati Warioba akiyasema haya , mwenyekiti wa Chama chake Samia Suluhu amekwisha saini sheria kandamizi za uchaguzi huo
Sheria zenyewe hizi hapa
View attachment 2958330
Kuna kampeni ya kuvurumisha maandamano bila kikomoKwa sheria za kijinga kama hizi, vyama vya upinzani kushiriki chaguzi nchi hii ni kujidhalilisha.
Hapa ndipo unafiki wa siasa unapojitokeza.Kwa nini kataja 19/20 tu?
Ni lini chaguzi zetu zimekuwa za huru na haki chini ya tume za uchaguzi ambazo huundwa na wenyeviti wa CCM?
Hajawa mkweli kikamilifu hapo!
Kwa sababu 19/20 iliwekq rekodi ya wagombea wa upinzani na wagombea wengi zaidi kupita bila kupingwaKwa nini kataja 19/20 tu?
Ni lini chaguzi zetu zimekuwa za huru na haki chini ya tume za uchaguzi ambazo huundwa na wenyeviti wa CCM?
Hajawa mkweli kikamilifu hapo!
Nasi tutimize wajibu wetu wa kiraia. Katiba haiji kwa kuombwa!Mungu amjalie Mzee wetu maisha marefu,
Aione TUME HURU ya UCHAGUZI na KATIBA mpya Kwa macho ya Damu na nyama.
Amen
Mkuu karibu tena JF, Nilivyokuona nikajua kuna taarifa nzito iko njianiNasi tutimize wajibu wetu wa kiraia. Katiba haiji kwa kuombwa!