Jaji Warioba haonekani sherehe za kitaifa na chama, haalikwi au hapendi kuhudhuria?

Jaji Warioba haonekani sherehe za kitaifa na chama, haalikwi au hapendi kuhudhuria?

Tena waambie kabisa kuwa alikaa karibu na David Cleopa Msuya ndani ya ukumbi wa Jakaya Kikwete siku ya kumchagua mgombea urais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania ndugu mheshimiwa sana John Joseph Pombe Magufuli.
Mtoa mada kasema shughuli za kitaifa, hivi mkutano wa ccm nao ni shughuli ya kitaifa?
 
Mtoa mada kasema shughuli za kitaifa, hivi mkutano wa ccm nao ni shughuli ya kitaifa?
Kwahiyo alipoandika shughuli za kitaifa/kichama hukupaona?

Au neno kichama hujui maana yake?
Usisome nusu stori, soma stori nzima.
 
Back
Top Bottom