Jaji Warioba, ingekuwa vyema ukaiacha Serikali ifanye kazi, wewe ni miongoni mwa watu wa heshima kwenye taifa hili

Hoja za Mzee Warioba zjibiwe kwa hoja full stop
 

Coincidence??

If they are christians we call it goddamed coincidence,but if they are Muslims ni udini siyo??

Na mnataka sisi tuwakalie kimya siyo,hii ni nji yetu sote,kanisa halina hati miliki,Nooo
 

Mkuu,waimba kwaya dawa yao ni kuexpose madudu yao kama hivi,hawa siku zote wanadhan kuwa sisi ni watu tusiojielewa
 
Huna hoja kabisa, yaani unaongea utumbo mtupu.
 
Wewe ndio unafahamu uwezo wa mtu? Pumbavu zako.. Unaweza kuwa na uwezo ila huendani na falsafa na itikadi yangu,nakupigia chini..

Rais fukuza wapumbavu wa aina hii wako wengi Sana wanakukwamisha.
'Rubbish reaction and imbecile mentality'.

Wewe mpiga debe wa utawala wa sasa UDINI, UKABILA, UKANDA, UCHAMA, UWEZO wa KIUCHUMI utawaangamiza na wananchi hawawataki kuwepo hapo mlipo wamewachoka.
 
Silipendagi hilo neno la kusema muache rais au iache serikali.

Haya maneno ndiyo yaliyofuga uovu ule ulioumiza wengi.
 

Fasabih bihamdi Rabbihka Wastaghfiruh...

Pole pole yanatimia Mkuu
 

Hapo kwa waislam Muongeze Dr. Jabir alikuwa DG wa eGA kwasasa ni DG TCRA
 
Jaji Warioba hapa anapewa ushauri wa Ki Makond(e).

Niliposoma uzi huu nilidhani Jaji Warioba amemshutumu Rais Samia kwa kuteua kwa upendeleo na kama ni hivyo nilitegemea kuoneshwa hayo matamshi aliyatoa wapi? Kweli tumeoneshwa ushahidi jinsi Magufuli alivyolinajisi Taifa letu kwa kutaka kuligawa kwa kuteua Watu wa kutoka kwao usukumani na kanda ya ziwa, hilo halina ubishi mwendazake alikuwa mtu fedhuli na alikuwa na upendeleo!

Ningependa kuona ushahidi wa kauli ya Jaji Warioba kuhusu hili; kwani miaka yote yeye huzungumzia mambo ya Katiba mara nyingi! Ningeshukuru kama Ushahidi wa kauli anayoshutumiwa jaji Warioba kuitoa utanukuliwa hapa na kuwa hadharani.
 
Hata hivyo waislamu ni wachache nchi hii pia wengi wao hawana shule ya kutosha. Bila kuwa na wabunge wa Zanzibar Bunge lingejaa wakristo
 
Hata hivyo waislamu ni wachache nchi hii pia wengi wao hawana shule ya kutosha. Bila kuwa na wabunge wa Zanzibar Bunge lingejaa wakristo

Eti eeh,waislam wapo wachache na hawana shule,kwa sensa ya mwakan gan ulipotoa data hizo,na kama ni hivyo hao wachache waliopo wakiteuliwa mbona vilio haviwaishi?

Mnataka mjazane huko Kwan mmeskia ni parokia hiyo??
 
Sasa kwako Jaji Warioba tunakukumbusha na tungependa kujua kipindi hiki ulikuwa wapi?

Implicit in this statement ni kwamba kuna kauli tata iliyotolewa na Jaji Warioba ,lakini mleta uzi hataki kuthibitisha hiyo kauli aliitoa wapi!!! Weka wazi shutuma zako na sio kuweka mafumbo.

Sintaona ajabu kama hizi shutuma dhidi ya Jaji Warioba ni za kubumbwa na wale wasiopenda msimamo wake kuhusu KATIBA ya wananchi hvyo kutaka kumchafulia jina lake kwa jamii!!
 
Eti eeh,waislam wapo wachache na hawana shule,kwa sensa ya mwakan gan ulipotoa data hizo,na kama ni hivyo hao wachache waliopo wakiteuliwa mbona vilio haviwaishi?

Mnataka mjazane huko Kwan mmeskia ni parokia hiyo??
Inavyoonesha wewe ni mjahidina waheid
 
Wewe mtu wa ajabu sana,
umeshindwa kusema jaji warioba amesema nini zaidi ya shutuma za uongo
nashangaa hata wachangiaji wanachangia kuhusu shutuma ambazo hawajui hata Mzee warioba amesema nini kwa maneno yake,
Taifa la vilaza sio ajabu.
Quote maneno yake bila kuongeza wala kupunguza hata nukta mzee Waarioba amesema nini.
 
Mzee Warioba kasema nini na wapi. Tuache kudemka.

La msingi, tunatakiwa kama taifa kujadili tutakavyoweza kuepuka upungufu wa maamuzi kama ya awamu ya tano. Kilicho dhahiri ni kukosekana kwa checks and balances katika mfumo wetu wa utawala/uongozi. Tutawezaje kutoka kwenye mkwamo huu wakati tukitambua kuwa kila binadamu ana udhaifu fulani, sio kamilifu. Kuendelea kumtuhumu Marehemu Magufuli na/au Rais Samia hakutaleta tija badala yake tutaendelea kuparurana. UMOJA wetu ni tunu ambayo tunatakiwa kuilinda kwa pamoja kama mboni ya jicho. Tutasongaje mbele wakati tukiwadhibiti viongozi watakaotaka kututenganisha kwa misingi ya dini, ukabila na ukanda; na hata kisiasa? Hii ndiyo hoja kuu. Vita yetu inatakiwa kuelekezwa katika kupambana na maadui wetu wa asili - ujinga, umasikini na maradhi. Na ushindi utapatikana kama tukiendelea kuimarisha umoja wetu kama taifa.
 

Na hapo ndipo KATIBA ya wananchi inapokuwa ya muhimu sana kufikia malengo ya umoja wetu kama Taifa!
 
Mwinuka NI mbena/ mhehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…