Jaji Warioba, ingekuwa vyema ukaiacha Serikali ifanye kazi, wewe ni miongoni mwa watu wa heshima kwenye taifa hili

Jaji Warioba, ingekuwa vyema ukaiacha Serikali ifanye kazi, wewe ni miongoni mwa watu wa heshima kwenye taifa hili

Jaji Mkuu Prof. Ibrahimu Juma - Mkristo (Kanda ya Ziwa) (jina lisikuchanganye, huyo si muislamu)
 
Tito Mwinuka Tanesco badilisha Mkristo Iringa/Njombe badilisha, pia tunaomba na orodha kama hio enzi za kikwete toka 2005 hadi 2015, na uende ofisi za NSSF nchi nzima uone lilivyo shirika la kiislamu nchi hii ni hatari sana. Mungu atusaidie tu. Hapo bado Makabila kwenye taasis na mawizara, kwenye halmashauri na mikoa, duuh wengine kila sehemu ni kama sisimizi tu.
Hili la nssf nakupinga maana zililetwa data humu ikaonekana 72+% ni wakristo, hata magu alivyoingia madarakani waliosimamishwa kazi kati ya watu kumi tena top mgt 7 walikuwa ni wakristo.
 
Hata hivyo waislamu ni wachache nchi hii pia wengi wao hawana shule ya kutosha. Bila kuwa na wabunge wa Zanzibar Bunge lingejaa wakristo
Wachache vipi wakati tunaambiwa huko nssf wamejaa wao? Na vipi huko nssf waliojaa hawana shule?
 
Sheghee..asaramarekoo!! Labda nikuambie tu! Sifa ya kuteuliwa mojawapo ni usomi wa muhusika! Sasa shida yenu sheghe hamna wasomi wengi...wengi wenu mnaishia madrasa...hi ni serikal ya duniani sio ya akhera! Ili mteuliwe jitahidn kuwasomesha wanenu had ngaz za juu huko maphd..hapo mtaenda sawa na wakiristuu..la cvyoo utaumia sana..
Hao wasomi wa seminari za kikristo ndio wanaongoza kuiibia serikali sasa sijui huko shuleni kuna katopiki ka uwizi
 
Huwezi sahihisha kosa kwa kutenda kosa. Kama mwendazake alikosea, Sisi tunaoendeleza mapambano ya kujenga nchi tusilipize visasi, tunyooshe palipopinda. Tuondoe ukanda, ukabila, udini na uswahiba alioendekeza mwendazake. Tujenge utaifa, umoja, Upendo na uzalendo, tena sio uzalendo WA kuona mwenyewe mawazo mbadala no msaliti! Tuheshimiane, tujali utu wa mtu, tugawane kakeki Ka taifa kiungwana
 
Hivi wacheza Mpira au wafanyabiashara wanapokuwa wengi waislamu mbona Hilo hatulisemei kuwa kuna udini? Kama waislamu Wana kipaji cha michezo tuawaache wacheze Mpira. Kama wanajua biashara tuawaache, kama wakristu wanapenda elimu dunia tuawaache, na kama hiyo ndio inapelekea wa qualify kuongoza taasisi tuawaache.

Hatuwezi kukwepa haya:
Wazaramo - Ngoma na shughuli
Wachaga - pesa na lager
Waha - ubishi na usaliti
Makonde - uchawi , wanga
Sukuma - starehe na wake weupe
Haya nshomile- ubishoo tu na utapeli
Kurya - ugonvi tena si wa maneno - panga
Mwera - kuona na kuachana
Hehe - Kitanzi
Pare - Kuchongeana kama TISS vile
Singida - Roho ngumu ya kikatili hivi
NA KADHALIKA.
Tukiwa wamoja Mambo haya, mapungufu ya kikabila yatakwisha
Tukiyaendekeza yatatutafuna.
 
Mwinuka NI mbena/ mhehe
Haya ni majina ya kibantu na yanawezapatikana sehemu nyingi. Mwinuka pia ni jina la Kikerewe. Nimefanya kazi na Mkerewe aliyekuwa anaitwa Mwinuka. Kuna wakati nilifikiria hyo CEO wa TANESCO ni mtoto wake au Mkerewe, kumbe hata huko Iringa kuna wake Mwinuka. Mimi nimewakusikia jina la mama mmoja mwanasiasa al-maauf anaitwa Mwita, na nikaanza kushangaa Mkurya katokea wapi huko visiwani na huku tulifundishwa kuwa Mwaraabu hakuwahi kufika Musoma kuchukuwa Watumwa! Sidhani huyo mama ni Mkurya.
 
Haya ni majina ya kibantu na yanawezapatikana sehemu nyingi. Mwinuka pia ni jina la Kikerewe. Nimefanya kazi na Mkerewe aliyekuwa anaitwa Mwinuka. Kuna wakati nilifikiria hyo CEO wa TANESCO ni mtoto wake au Mkerewe, kumbe hata huko Iringa kuna wake Mwinuka. Mimi nimewakusikia jina la mama mmoja mwanasiasa al-maauf anaitwa Mwita, na nikaanza kushangaa Mkurya katokea wapi huko visiwani na huku tulifundishwa kuwa Mwaraabu hakuwahi kufika Musoma kuchukuwa Watumwa! Sidhani huyo mama ni Mkurya.
Uliongozwa na hisia, ungetafiti kabla hujaja kumpakazia
 
Nimekuuliza uaminifu nini? Hunajibu. Kabila lipi hawaibi? Nitajie na mimi nitakwambia mhalifu/mwizi wao mmoja
Kila kabuila, race, ethnicity kuna wezi. Kila dini ina wezi. Wizi ni sehemu ya tabia za binadamu. Ila tunatofautiana katika vitu au mali tunazoiba. Kila mwizi anaiba mali zilizo katika mazingira yake. Wakurya wanaiba ng'ombe, makabila yenye asili ya uvuvi wanaibiana mitego ya samaki na samaki. Wafuga kuku huibiana kuku, na wafuga mbuzi huibiana mbuzi. Kule Bukoba huibiana saana ndizi. Kwenye misikiti huibiwa viatu vinavyoachwa mlangoni. Ulaya, Marekani. Uarabuni, n.k. kuna wizi na wezi. nchi zilizoendelea mikwapoa ni mikubwa kuliko ya kwetu. Kwenye bank robery unawezakuta kuta mijizi inakwapua mamilioni ya $. Mijizi ya mitandoa inawezakwapua mamilioni ya dollar. Kwa hiyo kufikiria TZ Wachagga ndiyo wezi tu ni uongo. Nafikiri anayesema hivyo ni mtu mwenye ukabila wa hali ya juu, kwa sababu makabila yote, dini zote, races, zote zina wezi.
 
Mawazo ya Jaji Warioba ni muhimu katika Taifa hili wewe ndiye unayetakiwa kunyamaza.
 
Jaji Warioba asilaumiwe! Tatizo ni Katiba inayompa madaraka makubwa Rais kiasi cha kumfanya atumie utashi wake kumchagua anayemtaka.
 
Jaji Warioba asilaumiwe! Tatizo ni Katiba inayompa madaraka makubwa Rais kiasi cha kumfanya atumie utashi wake kumchagua anayemtaka.
Mliyasema haya wakati wa magufuli?
Mbona nyie viumbe wanafiki sana.!
Enyi wagalatia msiokuwa na akili. Ji nani aliyewaloga?
 
Wachache vipi wakati tunaambiwa huko nssf wamejaa wao? Na vipi huko nssf waliojaa hawana shule?
Wala sishangai wewe kusema "TUNAAMBIWA".
Nyie hata mnaemuabudu mliambiwa kazaliwa akapigwa akafa. Wala hamtaki kuuliza wakati mungu wenu kafa nani alikuwa anaiongoza hii dunia.
Akili za kuambiwa ongeza na za kwako
wewe UNAFAHAMU kuwa wagalatia wamejaa kila wizara zinazo ongoza Nchi hii We Unaleta habari za kuambiwa kuhusu NSSF.
Sasa NSSF inaongoza Nchi?
Kwakweli simlaumu Sauli Kuuliza je! Ninani aliyewaloga?
 
Mbaya zaidi JF inamilikiwa na wakristo...wazee wa vijambakoti mnachoweza ni kuimba taarab na kukaba watu mitaani
So what!
Umiliki wa JF unahusiana nini na imani ya mmiliki! We unatazama AZAM TV kwa kuangalia imani ya Mwenye Azam?
Unapolamba KONI yake ukainyonya mpk ukaskia utamu wake mdomoni kwako huwa unaangalia imani ya mwenye ile KONI?
We ndio akili kinyesi kabisa.
Na hii ndio shida kubwa ya kulelewa bila kumfahamu Baba mzazi.
Mitoto ya mzazi mmoja utaijua tu kwenye comment zao.
Kelbu wahed.
 
Inavyoonesha wewe ni mjahidina waheid
Bi mkubwa Unaelewa maana ya Mujahidina kwanza au unapayuka tu kama uko kwenye madhabahu ya paroko.! Hicho ni CHEO kikubwa sana. Kikubwa kuliko kuitwa POPE.
Lkn wewe huwezi kujua hilo na Tatizo lenu waefeso pombe mmeigeuza kuwa ibada! Eti damu ya mungu. Sasa nyie kulewa ni kama sisi kula biriani Tofauti ni kuwa mla biriani haropoki ovyo. Na saa zote ana akili timamu.
 
Friends and Our Enemies.

Hivi karibun baada ya Mh RAIS Samia Hassan alipofanya mabadiliko madogo katika Baraza lake la mawazir alisikika akikemea tabia ya baadhi yetu kusimama na kulalama kuwa waliondolewa kwa kuwa wao hawakuwa kabila Fulani,kama kwamba wao wameondolewa kwa Kosa la kuwa ni WA asili ya kabila zao.

Na akazid kusema kwamba yeye hachagui wasaidizi wake kwa kuangalia unatokea kabila gan,na ukiharibu hawez kuacha kukuondoa eti kisa wewe unatokea kabila Fulani,Kigezo Cha kupewa nafas Ni Utanzania wako na elimu yako ikibid na weledi wako katika kazi.

Na siyo kuwa unatoka kabila gan au unatokea dini gani.

Late president Magufuli alifanya teuzi zake kwa utashi wake na kwa kuangalia ni watu gan walifaa kufanya kazi na yeye,hakuna hata siku MOJA tumesikia akipigiwa kelele kuwa alikua anateua kwa ukabila Wala udini japo yalikuwa yanaonekana waz waz yaliyokawa ya afanyika.

Sasa kwako Jaji Warioba tunakukumbusha na tungependa kujua kipindi hiki ulikuwa wapi?

Bodi ya Tanesco aliyoteuwa Dkt. Kalemani

Wakristo watupuuuu


Wajumbe ;

Balozi Dk James Nzagi
John Kihamba
Dk Lugano Wilson
John Kulwa
Denis Munumbu
Dk Gemma Modu
Mathew Kirama
Gilay Shamika

Mwenyekiti Bodi;

Dkt. Alexander Kyaruzi

Mkurugenzi Mkuu

Tito Mwinuka


REA

Bodi ya REA ya Dkt Kalemani

Wakristo Watupu


Members:

1. Dr. Gideon H. Kaunda - Board Chairman
2. Eng. Amos Maganga - Board Secretary
3. Eng. Innocent Luoga - Board Member
4. Ms.Happiness Mhina - Board Member
5. Mr. Theobald Sabi - Board Member
6. Ms. Amina H. Chinja - Board Member
7. Ms.Scolastica H. Jullu - Board Member
8. Mr. Michael P.Nyagoga - Board Member
9. Ms. Stella Cosmas Mandago - Board Member

Jaji Warioba hukuyaona haya?

Labda pia tumkumbushe..udini huu huu ambao ulikuwa na maelekezo ya Polycarp Pengo ulianzia hapa;

*Wateule wa Magufuli: priority Wakristo, Wasukuma, Kanda ya Ziwa *

1. TRC Mashanja Kadogosa Mkristo Msukuma

2. TIB Charles Singili *Mkristo Msukuma *

3. ATC Ladislaus Matindi *Mkristo Msukuma *

4. TIC Dr Maduhu Kazi Mkristo Msukuma

5. DG TCRA James Kilaba Mkristo Msukuma

6. Benki ya Kilimo Japhet Justine Mkristo Msukuma

7. PSSSP Hosea Kashimba Mkristo Msukuma

8. TPA Deusdedit Kakoko Mkristo Kanda ya Ziwa

9. TANESCO Dr Tito Mwinuka *Mkristo Kanda ya Ziwa *

10. Chairman TANESCO Prof Alexander Kyaruzi Mkristo Kanda ya Ziwa

11. DG VETA Pancras Bujulu *Mkristo Msukuma *

12. DG REA Amos Maganga Mkristo Msukuma

13. DG SIDO Sylvester Mpanduji Mkristo Msukuma

14. DG Dawasa Cryspian Luhemeja Mkristo Msukuma

15. DG EWURA Godfrey Chibulinje *Mkristo *

16. DG LAPF Eliudi Sanga Mkristo

17. DG NSSF Prof Kyharara *Mkristo Kanda ya Ziwa *

18. DG NSSF William Erio *Mkristo *

19. DG NIC Elirehema Dorie *Mkristo *

20. DG TIRA Mussa Juma *huyu ni Mkristo Msukuma msibabaishwe na jina ; Mkristo huyu *

21. DG NHIF Bernard Konga Mkristo

22. DG Tanzania Airport Authority Julius Ndyamukama *Mkristo Kanda ya Ziwa *

23. DG WCF Masha Mshomba Mkristo

24. DG TASAC (Shipping Agency ) Emmanuel Ndomba Mkristo

25. DG RITA Ag. DG Emmy Hudson Mkristo

26. DG TANROADS marehemu Patrick Mfugale Mkristo

27. Executive Secretary TCU (Commission of University) Charles Kihampa Mkristo

28. DG NIDA Anorld Kihaule Mkristo

29. DG NDC marehemu Damian Gabagambi Mkristo

30. DG TTB (Utalii) Devota Mdachi Mkristo

31. Gavana Benki Florence Lwoga Mkristo

32. CG TRA Edwin Mhede Mkristo

33. CAG Charles Kichere Mkristo

34. SUMATRA Gilliard Ngewe Mkristo

35. DG TBC Ayoub Ryoba Mkristo Kanda ya Ziwa
———————————-

The only Muslims walioteuliwa wakati wa Magufuli as DG wa Mashirika ni 4 tu

1. Dr Maulidi Banyani NHC

2. Dr Athumani Ngenya TBS

3. Waziri Kindamba TTCL

4. Hamza Johari Tanzania Civil Aviation Authority

Hizo ni data ambazo ziko wazi na hazina kificho kila mtu akizitafuta anaweza kuzipata,wakati haya yanafanyika siyo kwamba watu hawayaoni,ila wanavumilia na kuweka fikra chanya kuwa hii ni nchi yetu sote, ila inashangaza sana why always anapokuwa President ana affiliation na iman ya uislam na akachagua baadhi ya wasaidizi wake tena competent ambao nao wana affiliation na iman hiyo anyooshewe kidole,?why hatukuyaona hayo kwa President Magufuli ila tunayaona yakitokea kwa President Samia?tuache hizo double standards na unafiki,

Uongozi unatoka kwa Mungu,pend usipende ameshakuwa president,apewe nafasi afanye kazi kama vile walivyopewa wengine nafas katika kipind Chao wakafanya KAZI.
 
Back
Top Bottom