Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili la nssf nakupinga maana zililetwa data humu ikaonekana 72+% ni wakristo, hata magu alivyoingia madarakani waliosimamishwa kazi kati ya watu kumi tena top mgt 7 walikuwa ni wakristo.Tito Mwinuka Tanesco badilisha Mkristo Iringa/Njombe badilisha, pia tunaomba na orodha kama hio enzi za kikwete toka 2005 hadi 2015, na uende ofisi za NSSF nchi nzima uone lilivyo shirika la kiislamu nchi hii ni hatari sana. Mungu atusaidie tu. Hapo bado Makabila kwenye taasis na mawizara, kwenye halmashauri na mikoa, duuh wengine kila sehemu ni kama sisimizi tu.
Shule kivipi mkuu?THE BIG BOYA, acha chuki, hapo ni shule....🤣🤣🤣
Wachache vipi wakati tunaambiwa huko nssf wamejaa wao? Na vipi huko nssf waliojaa hawana shule?Hata hivyo waislamu ni wachache nchi hii pia wengi wao hawana shule ya kutosha. Bila kuwa na wabunge wa Zanzibar Bunge lingejaa wakristo
Hao wasomi wa seminari za kikristo ndio wanaongoza kuiibia serikali sasa sijui huko shuleni kuna katopiki ka uwiziSheghee..asaramarekoo!! Labda nikuambie tu! Sifa ya kuteuliwa mojawapo ni usomi wa muhusika! Sasa shida yenu sheghe hamna wasomi wengi...wengi wenu mnaishia madrasa...hi ni serikal ya duniani sio ya akhera! Ili mteuliwe jitahidn kuwasomesha wanenu had ngaz za juu huko maphd..hapo mtaenda sawa na wakiristuu..la cvyoo utaumia sana..
Haya ni majina ya kibantu na yanawezapatikana sehemu nyingi. Mwinuka pia ni jina la Kikerewe. Nimefanya kazi na Mkerewe aliyekuwa anaitwa Mwinuka. Kuna wakati nilifikiria hyo CEO wa TANESCO ni mtoto wake au Mkerewe, kumbe hata huko Iringa kuna wake Mwinuka. Mimi nimewakusikia jina la mama mmoja mwanasiasa al-maauf anaitwa Mwita, na nikaanza kushangaa Mkurya katokea wapi huko visiwani na huku tulifundishwa kuwa Mwaraabu hakuwahi kufika Musoma kuchukuwa Watumwa! Sidhani huyo mama ni Mkurya.Mwinuka NI mbena/ mhehe
Uliongozwa na hisia, ungetafiti kabla hujaja kumpakaziaHaya ni majina ya kibantu na yanawezapatikana sehemu nyingi. Mwinuka pia ni jina la Kikerewe. Nimefanya kazi na Mkerewe aliyekuwa anaitwa Mwinuka. Kuna wakati nilifikiria hyo CEO wa TANESCO ni mtoto wake au Mkerewe, kumbe hata huko Iringa kuna wake Mwinuka. Mimi nimewakusikia jina la mama mmoja mwanasiasa al-maauf anaitwa Mwita, na nikaanza kushangaa Mkurya katokea wapi huko visiwani na huku tulifundishwa kuwa Mwaraabu hakuwahi kufika Musoma kuchukuwa Watumwa! Sidhani huyo mama ni Mkurya.
Kila kabuila, race, ethnicity kuna wezi. Kila dini ina wezi. Wizi ni sehemu ya tabia za binadamu. Ila tunatofautiana katika vitu au mali tunazoiba. Kila mwizi anaiba mali zilizo katika mazingira yake. Wakurya wanaiba ng'ombe, makabila yenye asili ya uvuvi wanaibiana mitego ya samaki na samaki. Wafuga kuku huibiana kuku, na wafuga mbuzi huibiana mbuzi. Kule Bukoba huibiana saana ndizi. Kwenye misikiti huibiwa viatu vinavyoachwa mlangoni. Ulaya, Marekani. Uarabuni, n.k. kuna wizi na wezi. nchi zilizoendelea mikwapoa ni mikubwa kuliko ya kwetu. Kwenye bank robery unawezakuta kuta mijizi inakwapua mamilioni ya $. Mijizi ya mitandoa inawezakwapua mamilioni ya dollar. Kwa hiyo kufikiria TZ Wachagga ndiyo wezi tu ni uongo. Nafikiri anayesema hivyo ni mtu mwenye ukabila wa hali ya juu, kwa sababu makabila yote, dini zote, races, zote zina wezi.Nimekuuliza uaminifu nini? Hunajibu. Kabila lipi hawaibi? Nitajie na mimi nitakwambia mhalifu/mwizi wao mmoja
Crap!!Watakuwa wamechoka kubebelea matako yako.Na hao wananchi labda wako kwenye Banda lako unaloita nyumba wakiongozwa na bichwa bovu lako
Mliyasema haya wakati wa magufuli?Jaji Warioba asilaumiwe! Tatizo ni Katiba inayompa madaraka makubwa Rais kiasi cha kumfanya atumie utashi wake kumchagua anayemtaka.
Wala sishangai wewe kusema "TUNAAMBIWA".Wachache vipi wakati tunaambiwa huko nssf wamejaa wao? Na vipi huko nssf waliojaa hawana shule?
So what!Mbaya zaidi JF inamilikiwa na wakristo...wazee wa vijambakoti mnachoweza ni kuimba taarab na kukaba watu mitaani
Bi mkubwa Unaelewa maana ya Mujahidina kwanza au unapayuka tu kama uko kwenye madhabahu ya paroko.! Hicho ni CHEO kikubwa sana. Kikubwa kuliko kuitwa POPE.Inavyoonesha wewe ni mjahidina waheid