Jaji Warioba, ingekuwa vyema ukaiacha Serikali ifanye kazi, wewe ni miongoni mwa watu wa heshima kwenye taifa hili

Wakurugenzi wengine uliowataja humu ni wateule wa mawaziri na siyo wa Rais. Mfano mzuri ni wale wa VETA na TCU
 
Sheghee..asaramarekoo!! Labda nikuambie tu! Sifa ya kuteuliwa mojawapo ni usomi wa muhusika! Sasa shida yenu sheghe hamna wasomi wengi...wengi wenu mnaishia madrasa...hi ni serikal ya duniani sio ya akhera! Ili mteuliwe jitahidn kuwasomesha wanenu had ngaz za juu huko maphd..hapo mtaenda sawa na wakiristuu..la cvyoo utaumia sana..
 
'Rubbish reaction and imbecile mentality'.

Wewe mpiga debe wa utawala wa sasa UDINI, UKABILA, UKANDA, UCHAMA, UWEZO wa KIUCHUMI utawaangamiza na wananchi hawawataki kuwepo hapo mlipo wamewachoka.
Watakuwa wamechoka kubebelea matako yako.Na hao wananchi labda wako kwenye Banda lako unaloita nyumba wakiongozwa na bichwa bovu lako
 
Alikuhadithia...?!
 
Haya mambo ya kidini ebu siku lifanyike jambo Mungu atuonyeshe wapi ndo sahihi
Waislam pigeni ALBADIRI
Wakristo pigeni sala
Halafu tuone majibu

Maana makelele ya udini yamezidi.
 
Nakuunga mkono kwa NSSF,waislamu ni wengi sana,lakini kwangu sijali maana sihudumiwi na uislamu wao.
Namkubali sana Mhasibu wa Nssf Tawi la Geita,yupo vizuri sana.
 
Si walimpa kura nyingi,au u asema je mkuu.
 
Eti eeh,waislam wapo wachache na hawana shule,kwa sensa ya mwakan gan ulipotoa data hizo,na kama ni hivyo hao wachache waliopo wakiteuliwa mbona vilio haviwaishi?

Mnataka mjazane huko Kwan mmeskia ni parokia hiyo??
Nenda vyuoni uangalie idadi ya wahadhiri na maprofessor wengi ni wakristo, angalia idadi ya wanafunzi wakristo ni wengi, nenda maofisini wakristo ni wengi zaidi , walimu, manesi , ma Dr waislamu ni wachache. Sio kwamba hakuna waislamu wasomi wapo Ila ni wachache Sana mfano akina Prof Musa Assad. Idadi ya watu 65% ni wakristo nchi nzima halafu waislamu ni 35%. .Hata ukibalance kwenye uteuzi kuna mambo mengine unashindwa kabisa kwasababu ya difference hiyo
 

Wa Kristo ni %80 ya watanzania
 
Kama Warioba alinyamaza kipindi hicho hata sasa hivi anapaswa aendelee kunyamaza.
Tatizo la posts za uteuzi ni kuwa mwenye kuteua hufanya hivyo kulingana na matakwa yake kutokana na nguvu ya madaraka aliyopewa na katiba...
 
Kutoaminiwa kwenye nafasi za kiasiasa ni kitu cha kawaida duniani kote.
Sio kwamba wachagga walichukiwa na JPM.
Mimi nadhani alikuwa hawaamini kisiasa kutokana na wengi kuunga mkono upinzani.
Wachagga wamepotea ndani ya CCM.
Angekuwa hawaamini tu ingekuwa sawa singesema aliwachukia. Yeye aliwachukia wazi kabisa akahakikisha anawatoa kila sehemu walikokuwa. Alienda Moshi kwenye kampeni maneno aliyoongea yalionesha chuki za wazi kabisa kwa hao watu. Kumbuka pia kauli yake akiwa Iringa kuhusu watu wa Kaskazini.

Jamaa alikuwa na chuki kubwa ha hao watu wala siyo kwamba hakuwaamini
 
Wachaga ni wezi watanzania wote wanajua... sielewi kwa nini mnashangaa kutoaminiwa
Nimekuuliza uaminifu nini? Hunajibu. Kabila lipi hawaibi? Nitajie na mimi nitakwambia mhalifu/mwizi wao mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…