Jaji Warioba, ingekuwa vyema ukaiacha Serikali ifanye kazi, wewe ni miongoni mwa watu wa heshima kwenye taifa hili

Kwa hiyo unachokifanya ni kuhalalisha uovu kwa uovu! Yaani kwa sababu wakati wa awamu ya tano, watu walivumilia madudu! basi wanatakiwa wavumilie pia kunyamaza katika awamu hii!

Kwa sababu Magufuli na Kalemani waliteua Wakristo na Wasukuma wengi, na nyinyi sasa mnateuana kwa kigezo cha Uislam na Ukojani!
 
Ni wapuuzi hawa watu
 
Moderator huu uzi ulishajadiliwa last week unganisha au futilia mbali wanakopi huko wanajaza server.

 
Hii ya Chadema bila shaka ilikuwa ni Vatican ndogo.
 
Sisi huku kwetu watu wa Mbeya tutaendelea kuwatumia kwenye maandamano na uwana harakati mbali mbali, lkn kwenye nafasi muhimu za uraisi na uongozi wa juu wa chama tutaendelea kuwaburuza mpk siku wakija kushtuka itakuwa ishakuwa too late. We si unaona hata ule usajili wa ki digital huko Mbarali mkoani Mbeya unaongozwa na John Mrema na sio mh Mbilinyi aka Sugu au mwana Mbeya mungine yoyote nk. Chadema oyeeeeee.
 
Mbona huo Uislamu na Ukojani sijauona. Labda tupate mifano.
 
Iniuria non excusat iniuriam (One wrong does not justify another).
 
Ujinga gani huu. Magufuli aliangalia weledi sio dini ya mtu. Nyie wenye kuhesabu wakristo na waislam ndio mnaondoa watu weledi Phds mnaweka waislaam wenye ujuzi kupiga hela ya umma.

Muhimu ni weledi na uadilifu wa mtu japo busara ya kiongozi inahitajika kwenye uteuzi.

Kuwaleta wafanya biashara wakubwa kwenye uongozi wa mashirika ya umma na watu wenye sifa za kutiliwa mashaka kwa kisingizio cha udini ni jambo halikubaliki.
 
Hii hoja uliitoa wiki Jana . Hukuridhika na uchangiaji wa members humu ?!. Mbona umeirudisha , au Una shida binafsi na Warioba ?!
Hawa Wakojani hawataki kabisa kuambiwa ukweli. Na badala yake wanataka kuhalalisha uovu kwa uovu! Jambo ambalo halikubaliki hata kidogo.
 
Wacha udini na ukabila wewe mhamiaji haramu.

Unataka kutuchafulia hali ya hewa ili tuwe kama kwenu?
 
Reactions: BAK
Kwani hujaolewa na yule mwana CHADEMA aliyekupa mimba?

Mleta thread hakuna sehemu ameitaja cdm lkn wewe kwa kuwashwa na cdm umeiingiza kwenye upuuzi wenu.
 
Naomba rejea ya Maneno ya Jaji Warioba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…