Jaji Warioba, ingekuwa vyema ukaiacha Serikali ifanye kazi, wewe ni miongoni mwa watu wa heshima kwenye taifa hili

Jaji Warioba, ingekuwa vyema ukaiacha Serikali ifanye kazi, wewe ni miongoni mwa watu wa heshima kwenye taifa hili

Kwa hiyo unachokifanya ni kuhalalisha uovu kwa uovu! Yaani kwa sababu wakati wa awamu ya tano, watu walivumilia madudu! basi wanatakiwa wavumilie pia kunyamaza katika awamu hii!

Kwa sababu Magufuli na Kalemani waliteua Wakristo na Wasukuma wengi, na nyinyi sasa mnateuana kwa kigezo cha Uislam na Ukojani!
 
Kwa hiyo unachokifanya ni kuhalalisha uovu kwa uovu! Yaani kwa sababu wakati awamu ya tani watu walivumilia madudu, basi wanatakiwa wavumilie pia na awamu hii!

Yaani kwa sababu Magufuli na Kalemani waliteua Wakristo na Wasukuma wengi, na nyinyi sasa mnateuana kwa kigezo cha Uislam na Ukojani!
Ni wapuuzi hawa watu
 
Moderator huu uzi ulishajadiliwa last week unganisha au futilia mbali wanakopi huko wanajaza server.

 
Umetisha bwashee!

Hiyo orodha ya wateule ni kama Chadema ya wakati ule.

1. Katibu mkuu.............. Dr Mashinji ( Mkristo msukuma)
2. Naibu Katibu mkuu..... J J Mnyika ( Mkristo msukuma)
3. Chairman Bavicha........ Katambi ( Mkristo msukuma)

Labda ndio kabila lenye watu wengi!
Hii ya Chadema bila shaka ilikuwa ni Vatican ndogo.
 
Kwa hiyo unachokifanya ni kuhalalisha uovu kwa uovu! Yaani kwa sababu wakati wa awamu ya tano, watu walivumilia madudu! basi wanatakiwa wavumilie pia kunyamaza katika awamu hii!

Kwa sababu Magufuli na Kalemani waliteua Wakristo na Wasukuma wengi, na nyinyi sasa mnateuana kwa kigezo cha Uislam na Ukojani!
Sisi huku kwetu watu wa Mbeya tutaendelea kuwatumia kwenye maandamano na uwana harakati mbali mbali, lkn kwenye nafasi muhimu za uraisi na uongozi wa juu wa chama tutaendelea kuwaburuza mpk siku wakija kushtuka itakuwa ishakuwa too late. We si unaona hata ule usajili wa ki digital huko Mbarali mkoani Mbeya unaongozwa na John Mrema na sio mh Mbilinyi aka Sugu au mwana Mbeya mungine yoyote nk. Chadema oyeeeeee.
 
Kwa hiyo unachokifanya ni kuhalalisha uovu kwa uovu! Yaani kwa sababu wakati wa awamu ya tano, watu walivumilia madudu! basi wanatakiwa wavumilie pia kunyamaza katika awamu hii!

Kwa sababu Magufuli na Kalemani waliteua Wakristo na Wasukuma wengi, na nyinyi sasa mnateuana kwa kigezo cha Uislam na Ukojani!
Mbona huo Uislamu na Ukojani sijauona. Labda tupate mifano.
 
Iniuria non excusat iniuriam (One wrong does not justify another).
 
Ujinga gani huu. Magufuli aliangalia weledi sio dini ya mtu. Nyie wenye kuhesabu wakristo na waislam ndio mnaondoa watu weledi Phds mnaweka waislaam wenye ujuzi kupiga hela ya umma.

Muhimu ni weledi na uadilifu wa mtu japo busara ya kiongozi inahitajika kwenye uteuzi.

Kuwaleta wafanya biashara wakubwa kwenye uongozi wa mashirika ya umma na watu wenye sifa za kutiliwa mashaka kwa kisingizio cha udini ni jambo halikubaliki.
 
Hii hoja uliitoa wiki Jana . Hukuridhika na uchangiaji wa members humu ?!. Mbona umeirudisha , au Una shida binafsi na Warioba ?!
Hawa Wakojani hawataki kabisa kuambiwa ukweli. Na badala yake wanataka kuhalalisha uovu kwa uovu! Jambo ambalo halikubaliki hata kidogo.
 
Wacha udini na ukabila wewe mhamiaji haramu.

Unataka kutuchafulia hali ya hewa ili tuwe kama kwenu?
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Umetisha bwashee!

Hiyo orodha ya wateule ni kama Chadema ya wakati ule.

1. Katibu mkuu.............. Dr Mashinji ( Mkristo msukuma)
2. Naibu Katibu mkuu..... J J Mnyika ( Mkristo msukuma)
3. Chairman Bavicha........ Katambi ( Mkristo msukuma)

Labda ndio kabila lenye watu wengi!
Kwani hujaolewa na yule mwana CHADEMA aliyekupa mimba?

Mleta thread hakuna sehemu ameitaja cdm lkn wewe kwa kuwashwa na cdm umeiingiza kwenye upuuzi wenu.
 
Friends and Our Enemies...

Hivi karibun baada ya Mh RAIS Samia Hassan alipofanya mabadiliko madogo katika Baraza lake la mawazir alisikika akikemea tabia ya baadhi yetu kusimama na kulalama kuwa waliondolewa kwa kuwa wao hawakuwa kabila Fulani,kama kwamba wao wameondolewa kwa Kosa la kuwa ni WA asili ya kabila zao,

Na akazid kusema kwamba yeye hachagui wasaidizi wake kwa kuangalia unatokea kabila gan,na ukiharibu hawez kuacha kukuondoa eti kisa wewe unatokea kabila Fulani,Kigezo Cha kupewa nafas Ni Utanzania wako na elimu yako ikibid na weledi wako katika kazi,

Na siyo kuwa unatoka kabila gan au unatokea dini gan,

Late president Magufuli alifanya teuzi zake kwa utashi wake na kwa kuangalia ni watu gan walifaa kufanya kazi na yeye,hakuna hata siku MOJA tumesikia akipigiwa kelele kuwa alikua anateua kwa ukabila Wala udini japo yalikuwa yanaonekana waz waz yaliyokawa ya afanyika,

Sasa kwako Jaji Warioba tunakukumbusha na tungependa kujua kipindi hiki ulikuwa wapi?

Bodi ya Tanesco aliyoteuwa Dkt. Kalemani

Wakristo watupuuuu


Wajumbe ;

Balozi Dk James Nzagi
John Kihamba
Dk Lugano Wilson
John Kulwa
Denis Munumbu
Dk Gemma Modu
Mathew Kirama
Gilay Shamika

Mwenyekiti Bodi;

Dkt. Alexander Kyaruzi

Mkurugenzi Mkuu

Tito Mwinuka


REA

Bodi ya REA ya Dkt Kalemani

Wakristo Watupu


Members:

1. Dr. Gideon H. Kaunda - Board Chairman
2. Eng. Amos Maganga - Board Secretary
3. Eng. Innocent Luoga - Board Member
4. Ms.Happiness Mhina - Board Member
5. Mr. Theobald Sabi - Board Member
6. Ms. Amina H. Chinja - Board Member
7. Ms.Scolastica H. Jullu - Board Member
8. Mr. Michael P.Nyagoga - Board Member
9. Ms. Stella Cosmas Mandago - Board Member

Jaji Warioba hukuyaona haya?

Labda pia tumkumbushe..udini huu huu ambao ulikuwa na maelekezo ya Polycarp Pengo ulianzia hapa;

*Wateule wa Magufuli: priority Wakristo, Wasukuma, Kanda ya Ziwa *

1. TRC Mashanja Kadogosa Mkristo Msukuma

2. TIB Charles Singili *Mkristo Msukuma *

3. ATC Ladislaus Matindi *Mkristo Msukuma *

4. TIC Dr Maduhu Kazi Mkristo Msukuma

5. DG TCRA James Kilaba Mkristo Msukuma

6. Benki ya Kilimo Japhet Justine Mkristo Msukuma

7. PSSSP Hosea Kashimba Mkristo Msukuma

8. TPA Deusdedit Kakoko Mkristo Kanda ya Ziwa

9. TANESCO Dr Tito Mwinuka *Mkristo Kanda ya Ziwa *

10. Chairman TANESCO Prof Alexander Kyaruzi Mkristo Kanda ya Ziwa

11. DG VETA Pancras Bujulu *Mkristo Msukuma *

12. DG REA Amos Maganga Mkristo Msukuma

13. DG SIDO Sylvester Mpanduji Mkristo Msukuma

14. DG Dawasa Cryspian Luhemeja Mkristo Msukuma

15. DG EWURA Godfrey Chibulinje *Mkristo *

16. DG LAPF Eliudi Sanga Mkristo

17. DG NSSF Prof Kyharara *Mkristo Kanda ya Ziwa *

18. DG NSSF William Erio *Mkristo *

19. DG NIC Elirehema Dorie *Mkristo *

20. DG TIRA Mussa Juma *huyu ni Mkristo Msukuma msibabaishwe na jina ; Mkristo huyu *

21. DG NHIF Bernard Konga Mkristo

22. DG Tanzania Airport Authority Julius Ndyamukama *Mkristo Kanda ya Ziwa *

23. DG WCF Masha Mshomba Mkristo

24. DG TASAC (Shipping Agency ) Emmanuel Ndomba Mkristo

25. DG RITA Ag. DG Emmy Hudson Mkristo

26. DG TANROADS marehemu Patrick Mfugale Mkristo

27. Executive Secretary TCU (Commission of University) Charles Kihampa Mkristo

28. DG NIDA Anorld Kihaule Mkristo

29. DG NDC marehemu Damian Gabagambi Mkristo

30. DG TTB (Utalii) Devota Mdachi Mkristo

31. Gavana Benki Florence Lwoga Mkristo

32. CG TRA Edwin Mhede Mkristo

33. CAG Charles Kichere Mkristo

34. SUMATRA Gilliard Ngewe Mkristo

35. DG TBC Ayoub Ryoba Mkristo Kanda ya Ziwa
———————————-

The only Muslims walioteuliwa wakati wa Magufuli as DG wa Mashirika ni 4 tu

1. Dr Maulidi Banyani NHC

2. Dr Athumani Ngenya TBS

3. Waziri Kindamba TTCL

4. Hamza Johari Tanzania Civil Aviation Authority

Hizo ni data ambazo ziko wazi na hazina kificho kila mtu akizitafuta anaweza kuzipata,wakati haya yanafanyika siyo kwamba watu hawayaoni,ila wanavumilia na kuweka fikra chanya kuwa hii ni nchi yetu sote, ila inashangaza sana why always anapokuwa President ana affiliation na iman ya uislam na akachagua baadhi ya wasaidizi wake tena competent ambao nao wana affiliation na iman hiyo anyooshewe kidole,?why hatukuyaona hayo kwa President Magufuli ila tunayaona yakitokea kwa President Samia?tuache hizo double standards na unafiki,

Uongozi unatoka kwa Mungu,pend usipende ameshakuwa president,apewe nafasi afanye kazi kama vile walivyopewa wengine nafas katika kipind Chao wakafanya KAZI.
Naomba rejea ya Maneno ya Jaji Warioba
 
Back
Top Bottom