Jaji Warioba, ingekuwa vyema ukaiacha Serikali ifanye kazi, wewe ni miongoni mwa watu wa heshima kwenye taifa hili

Alafu ukute huyu ndiyo mtu tegemezi wa team kojani
 
Kutengeneza kumbukumbu namna hii inaonyesha jinsi gani roho ya udini ilivyo kukaa kisawasawa, kama una asilimia zaidi ya 95 ya wasomi waliobobea kwenye taaluma zao ambao ni wakristo ni jambo gani la kushangaza kukuta wakiwa wengi zaidi kwenye kuongoza taasisi na mashirika mbalimbali ya umma....
 
Mikristo ina roho mbaya na roho za chuki sana.

Inatamani waislamu wakose hata pumzi wafe kabisa.

Mijitu ya hovyo sana hii.
 
Ukimuuliza ni kwa nini serikali ya Mapinduzi Zanzibar inaundwa na Waislamu tupu, atasema mbona Zanzibar Waislamu ndiyo wengi!

Sasa hata kama ni wengi, je hao wachache wa imani nyingine mbona hawapewi nafasi chache kulingana na huo uchache wao?
 
Mbona huo Uislamu na Ukojani sijauona. Labda tupate mifano.
Utawaweza basi hawa makafiri.

Kwao wakiteuliwa wakristo 9 na muislamu mmoja sio udini.

Wakiteuliwa wakristo watano na waislamu watano huo kwao ni udini.

Wakiteuliwa wakristo 4 na waislamu 6 hapo ndo udini uliopitiliza.

Mipumbavu sana hii mijitu.
 
Uzi umekuchoma kunako mnywa divai.

Unaomba usaidizi kwa mods wautoe walau upate amani.

TOFAUTI NI HEADING TU

Naona hukuwa na BANDO
 
Ukimuuliza ni kwa nini serikali ya Mapinduzi Zanzibar inaundwa na Waislamu tupu, atasema mbona Zanzibar Waislamu ndiyo wengi!

Sasa hata kama ni wengi, je hao wachache wa imani nyingine mbona hawapewi nafasi chache kulingana na huo uchache wao?
Akileta hoja ya wengi, ile ya kusema kwamba wakristo wengi ndo wanapata teuzi itakosa mashiko maana wao ndo wengi wenye vigezo hasa ukizingatia sifa ya usomi na ubobezi kwenye taaluma mbalimbali.....
 
KWahiyo ukikosea mara ya kwanza inabidi urudie tena kosa ili lisiwe kosa?
Two wrongs does not make one right.
Jadili hoja yako kwa arguments na sio kusema mbona flan alifanya hivi..
Kwakuwa Warioba hakumkosoa Magufuli haimainishi kuwa Magufuli alikuwa sahihi au watu wengine hawakumkosoa
Magufuli.
Warioba yuko sahihi kutoa maoni yake cha kujadiliwa ni kama maoni yake yana hoja za msingi au la.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…