Jaji Warioba: Kikosi kazi cha Profesa Mukandala kikusanye maoni ya Wananchi wa kawaida siyo Watu maarufu pekee

Jaji Warioba: Kikosi kazi cha Profesa Mukandala kikusanye maoni ya Wananchi wa kawaida siyo Watu maarufu pekee

Kazi ya kukusanya maoni kuhusu katiba ilishafanywa na jaji Warioba.

Hicho kikosi kazi ni batili na ufujaji wa pesa za umma.

Ccm na Serikali waache kuwafanya Watanzania mazoba.

Hii nchi ni shamba la bibi. Ni mwendo wa kulamba asali kwa zamu.
 
Back
Top Bottom