Bunchari JF-Expert Member Joined Aug 31, 2017 Posts 558 Reaction score 661 Jul 2, 2022 #61 Gift mzalendo said: Hapa sio sehemu ya kutishana mkuu, unaambiwa ukweli , unaamaua kubadilika au unaacha, Ila huwezi kuzuia watu kukueleza ukweli na wala usijaribu This is JF for GT Click to expand... usizoee sawa?
Gift mzalendo said: Hapa sio sehemu ya kutishana mkuu, unaambiwa ukweli , unaamaua kubadilika au unaacha, Ila huwezi kuzuia watu kukueleza ukweli na wala usijaribu This is JF for GT Click to expand... usizoee sawa?
Pulchra Animo JF-Expert Member Joined Jun 16, 2016 Posts 3,718 Reaction score 3,465 Jul 2, 2022 #62 Proved said: Kazi ya kukusanya maoni kuhusu katiba ilishafanywa na jaji Warioba. Hicho kikosi kazi ni batili na ufujaji wa pesa za umma. Ccm na Serikali waache kuwafanya Watanzania mazoba. Click to expand... Hii nchi ni shamba la bibi. Ni mwendo wa kulamba asali kwa zamu.
Proved said: Kazi ya kukusanya maoni kuhusu katiba ilishafanywa na jaji Warioba. Hicho kikosi kazi ni batili na ufujaji wa pesa za umma. Ccm na Serikali waache kuwafanya Watanzania mazoba. Click to expand... Hii nchi ni shamba la bibi. Ni mwendo wa kulamba asali kwa zamu.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jul 3, 2022 #63 Hakika...