Jaji Warioba: Kubadili sheria nyingi katika kila Bunge kunaonesha kuna umuhimu wa Katiba Mpya

Matajiri wameshasema wachuuza dagaa huku Kubaigwa wanapinga😅😅😅
 
Hata wewe mataga unataka katiba mpya?
 
Nchi imejaa watu wanafiki kama akina Polepole, Kabudi na Bashiru.
 
Hivi kwa nini ccm ndio kigugumizi na katiba mpya. Kwani hasa tatizo ni nini wakati mchakato ulikuwepo na sheria ipo
Umeuliza swali la msingi sana, lkn CCM yetu tunajuana wenyewe
 
Sikiliza hapa:

Warioba hatobaki salama na hiyo tume. Walishinikizwa na UKAWA tuwe eti na serkali 3 KWA SABABU WANZAZIBARI HAWATAKUBALI KUBADILISHA MAKOSA kwenye katiba yao kinyemela ya 1984. Yaani katiba "mpya" kumbe ni ya mabavu ya Wanzanzibar? Hili kalirudia tena jana. Kama ni serkali 3 kikwelikweli, je, Katiba ya Tanganyika itaandikwa lini? Na nani? Na wao je, kwani hawana mabavu? Ni Wazanzibari wote kweli? No, la hash. Ni kikundi cha masalia ya waliotokewa na Mapinduzi 1964. Uchaguzi umefanyika huru na wa haki mwaka 2015, Maalimu hakufikisha theluthi ya kura, watu wengi huku wanasema zamani CUF kumbe walikuwa wanaiba kura safari hii wamebambwa.
.
Vitu vyenyewe Katiba ya Zanzibar wala siyo vya msingi: kusema Zanzibar ni nchi "huru" (so what?), au mipaka ya mikoa na wilaya atapitisha Rais wa Zanzibar (atampataje RPC? Ya sasa inasema watashauriana na Rais wa Tanzania). Nothing of substance, mengine ni blabla, kwa mfano Zanzibar iwe na benki "kuu" yake. Maskini Warioba, walimtegeshea Waarabu na Wasaliti, wakijiita UKAWA, wakimsifia "maridhiano". Yeye anadiriki kusema "hatukuwahi kupiga kura, kila kitu tuliridhiana". Kweli? Haiwezekani. The only way Waarabu na Wasaliti wataridhia bila kura is when unavunja au kudhoofisha Muungano. Na limits za ubunge, na kumwajibisha mbunge, na kuumwa mbunge, yote yali,engwa kwa CCM, kuwafurahisha Wapinzani.

Ile Hotubaya Rais Kikwete kufungua Bunge Maalum imeingia kwenye historiacya ukombozi wa nchi hii.

Hii hapa:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…