Bablemuba
Senior Member
- Jul 14, 2020
- 131
- 113
na walilipitisha wao wenyewe kama bunge.leo wanatuona kama nyumbu waliokosea njiaaa kabisaaa...Hili la katiba mpya lita wagharimu sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na walilipitisha wao wenyewe kama bunge.leo wanatuona kama nyumbu waliokosea njiaaa kabisaaa...Hili la katiba mpya lita wagharimu sana.
Hoja yao ni kuwa swala la katiba mpya litaleta vurugu, hii ni risk assumption. Maisha yetu yote tuna take risks. Kuna risk kubwa kama ya mwanamke kubeba ujauzito, kuna wanaokufa kwa uzazi lakini bado wanawake tuna zaa na dunia inaongezeka.na walilipitisha wao wenyewe kama bunge.leo wanatuona kama nyumbu waliokosea njiaaa kabisaaa...
hapana ukisema hvo inamana hii katiba itamnufaisha mtu binafsi ama wanainchi kwa ujumla.na kama walijua kuwa ni risk??why waliipitisha bungeni?? na wakatengeneza kama yenye bunge ndani yakee na alikuwa kuwa naibu mwenyekiti ndo huyo sahvi ni rais wa serikali kuuHoja yao ni kuwa swala la katiba mpya litaleta vurugu, hii ni risk assumption. Maisha yetu yote tuna take risks. Kuna risk kubwa kama ya mwanamke kubeba ujauzito, kuna wanaokufa kwa uzazi lakini bado wanawake tuna zaa na dunia inaongezeka.
Wananchi wengi walilalamikia mitandao haikamati hadi wapande kwenye miti!wabunge wakaona ni fursa kupitisha kodi ya uzalendo!Wazee ni hazina kubwa Tuwatumie.siandiki tittle.mana mtanielewa tuu.bunge letu kila kinachopelekwa bungeni kinapitishwa bila kujua madhara baadae ama changamoto watakazokutana nazo....wakidhani watanzania washazoea kupelekeshwa...na kujiamlia wao.leo KATIBA wanaichukulia kama mzigo kwao..wakati wanapitisha sheria bungeni warasimishe katiba maana yao ilikuwa nini.na why sahvi waione kama sio kipaumbelee????
Kubishana na lofa ambaye hata hafahamu tofauti ya EU na UN ni kujishushia hadhi. Go ahead enjoy with your I d i o t.UN ni superior Kwa EU so I actually underestimated his eminence! Mtu ameshakua Waziri Mkuu kwani Mwalimu hakuona wengine? Kastaafu ila bado kaitwa kuongoza mabadiliko ya katiba then anakuja lofa mmoja wa UVCCM (ambaye hata mtaani kwake hana alicho impact jamii yake) ku disqualify credibility ya Mzee Warioba.
U should be ashamed of urself, wivu na chuki kwa mtu aliekuzidi kila kitu kuanzia akili mpaka mchango kwenye jamii hautakusaidia lolote.
Hahahaha Pole sana naona imekuuma mnoo kusikia jamaa ni international figure. Kama mabeberu wenye ubaguzi wa rangi walimpa u-judge, we machinga wa Manzese ndio unadhani unaweza chafua legacy yake!? Twat!Kubishana na lofa ambaye hata hafahamu tofauti ya EU na UN ni kujishushia hadhi. Go ahead enjoy with your I d i o t.
Kwani nyie wa ndio kila kitu mwatakaje? Aimbiwe mapambio?Kesho akikanusha Haya BAVICHA mtamtukana
NDIO,