Akizungumza leo Septemba 7, 2026, kwenye Mkutano wa wa Kitaifa wa Kutafakari Hali ya Kisiasa Nchini uliondaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), Jaji Mstaafu, Joseph Sinde Warioba amesema:
Concern ni mzanzibari kuwa huru kugombea nafasi yoyote huku Tanganyika wakati mtanganyika hawezi kwenda zanzibar akagombea hata ujumbe wa shehia.Zama hizi za utandawazi tunazungumzia ukabila, Ukanda, udini nk. Ni aibu tupu. Mfano mimi Mtanzania nikihamia Marekani wanaweza hata kunichagua Rais japo mhamiaji.
Normally age comes with wisdom, but sometimes it comes aloneMzee umri umeenda lakini anapangilia neno kwa neno kuelekea kwenye point
Na wao ndiyo waliopanda,kumwagia na kuwekea mbolea udini,anadhani watu hawakumbukiNdio kwanza anajua leo hayo? Ubaguzi ulikuwa ushashitadi wakati yuko active katika siasa na alijua fika na wala hakufanya lolote lile kukomesha au kukaripia tabia hzo. Leo ndio anakuja kuyasema hayo wakati hana nguvu za kuyazuia?
Muungano ukivunjuka na Tanganyika kurudi,wewe utapata nini?.. muungano umekuzuwia kulima matikiti, umekuzuwia kubet?Bring back my Tanganyika, to hell with Muungano fake for the sake of CCM beneficiaries.
Muungano uvunjwe kwanza kila mtu arudi kwao, hayo mengine yote yatakuwa sorted out mbele kwa mbele. Basically raia wa kawaida wa pande zote mbili hawautaki sasa kwa nini ung'ang'aniwe? Kwa sababu tu viongozi wa CCM wanaung'ang'ania?Muungano ukivunjuka na Tanganyika kurudi,wewe utapata nini?.. muungano umekuzuwia kulima matikiti, umekuzuwia kubet?
Zama hizi za utandawazi tunazungumzia ukabila, Ukanda, udini nk. Ni aibu tupu. Mfano mimi Mtanzania nikihamia Marekani wanaweza hata kunichagua Rais japo mhamiaji.
Umekatisha maisha ya watanganyika wenzangu wengi tu kwa hofu zisizo na mashiko, eti kwamba, tukiwaacha wajitawale hao wazenji itakuwa Islamic state hatari kama Somali. Swali ni je? Kenya ushawahi skia ikitaka kujiunga na Somalia ice chi moja ili waweze kuwacontrol hao majirani zao hatari?. Ujinga tu kisa uchu wa madaraka ndio una watafuna CCM.Muungano ukivunjuka na Tanganyika kurudi,wewe utapata nini?.. muungano umekuzuwia kulima matikiti, umekuzuwia kubet?
Lakini mzanzibar ambaye hajazaliwa Tanganyika anaruhusiwa kugombea urais wa Tanganyika. Muungano huu haufai.Mtu muhamiaji ambaye kapata uraia wa Marekani, lakini hajazaliwa Marekani, hawezi kuwa rais wa Marekani.
Jibu swali nililoulizaUmekatisha maisha ya watanganyika wenzangu wengi tu kwa hofu zisizo na mashiko, eti kwamba, tukiwaacha wajitawale hao wazenji itakuwa Islamic state hatari kama Somali. Swali ni je? Kenya ushawahi skia ikitaka kujiunga na Somalia ice chi moja ili waweze kuwacontrol hao majirani zao hatari?. Ujinga tu kisa uchu wa madaraka ndio una watafuna CCM.
Una akili za kuzuwia usijinyee tu, akili za kuelewa walau vitu vidogo hunaLakini mzanzibar ambaye hajazaliwa Tanganyika anaruhusiwa kugombea urais wa Tanganyika. Muungano huu haufai.