Jaji Warioba: Kuna ubaguzi wa kikabila, Utaifa na mpasuko wa kidini, Utanganyika, Uzanzibari

Jaji Warioba: Kuna ubaguzi wa kikabila, Utaifa na mpasuko wa kidini, Utanganyika, Uzanzibari

Term hii wakiristo nao wamekuwa uamsho hahhahahh
 
Muungano uvunjwe kwanza kila mtu arudi kwao, hayo mengine yote yatakuwa sorted out mbele kwa mbele. Basically raia wa kawaida wa pande zote mbili hawautaki sasa kwa nini ung'ang'aniwe? Kwa sababu tu viongozi wa CCM wanaung'ang'ania?
Ulifanya kura ya maoni bara wengi wakasema hawautaki?
 
Tofauti kati ya wenye akili Nchi 4 zenye chumi kubwa zinaungana na kuunda serikali kuu moja, na wafuata mkumbo tuinchi 2 GDP zake anamiliki mcheza Basketball USA tunakuwa na viserikali uchwara kibao:

Ulinganifu wa Miundo ya Miungano

KipengeleMuungano wa Uingereza (UK)Muungano wa Tanzania
Idadi ya NchiNchi 4: England, Scotland, Wales, na Northern Ireland.Nchi 2: Tanganyika na Zanzibar.
Muundo wa SerikaliSerikali Moja Kuu yenye ugatuzi wa madaraka (Devolution) kwa mabunge ya Scotland, Wales, na Northern Ireland. England haina bunge lake binafsi.Serikali Mbili: Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ). Tanganyika haina serikali yake binafsi.
Mkuu wa NchiMfalme au Malkia (kwa sasa Mfalme Charles III) ambaye ni mkuu wa nchi wa muungano mzima.Rais wa Jamhuri ya Muungano, akisaidiana na Rais wa Zanzibar ambaye pia ni Makamu wa Rais wa Muungano.
KatibaHaina Katiba moja iliyoandikwa (Uncodified Constitution); inategemea sheria mbalimbali, mikataba, na desturi za kihistoria.Ina Katiba Moja Kuu iliyoandikwa ya mwaka 1977, ingawa Zanzibar pia ina katiba yake kwa mambo yasiyo ya muungano.

SASA HIVI: Raisi wa muungano Mzanzibar Makamu wa Muungano Mzazibar... Ila haitakaa itokee Hivyo kwa Mtangayika, maana makamu wa Muungano ni Raisi kutoka Zanzibar ambaye lazima awe Mzanzibar. "NYERERE NI JANGA LA TAIFA".

CC. gallow bird
 
Muungano ukivunjuka na Tanganyika kurudi,wewe utapata nini?.. muungano umekuzuwia kulima matikiti, umekuzuwia kubet?

Ndio, Muungano unanizuia kebeti na kulima tikiti kwa mafanikio.

Hela ya jasho langu kodi ya Tanganyika, BADALA YA KUTUPATIA FREE FARM SUBSIDIES ( MBOLEA BURE, MAJI BURE, DAWA ZA WADUDU BURE, MBEGU BURE, KODI ZA MAZAO BURE) kama ilivyo Japan, Russia, China, Ulaya na Marekani, hela ya Tanganyika inakuwa diverted kwenda kulea Wazanzibari. na wastaafu wao, na misafara yao, na dialysis zao za bure, na kujenga ma miundombindu yao na mahospitali na ku fund elimu yao ya juu.

Tanganyika inahudumia nchi mbili!

ZANZIBAR INATU COSTI BIG FREAKING TIME KWENYE MAISHA YETU YA KILA SIKU

EFF THEM

BABA WA TAIFA SIKU AMETUUNGANISHA ALIKUWA AMEKULA CHA ARUSHA

MUUNGANO TUNAVUNJA
 

Attachments

  • julius-nyerere-leader-of-tanganyika-tanzania-HPXCT9.jpg
    julius-nyerere-leader-of-tanganyika-tanzania-HPXCT9.jpg
    131 KB · Views: 12
Mwangalie vizuri ameshika sigara kali iko laced na cha Arusha.

Ni mwendawazimu tu ndo anaweza kuingia mkataba kama ule. Zanzibar inaingia Nzega mara tatu! Ni ndogo kuliko wilaya zetu.

Pemba ni ndogo kuliko Mbagala Metropolis, kuanzia mpaka wa Kurasini bandarini, Kwa Azizi Ally Temeke, Mbagala Kuu, Rangi Tatu, Chamazi, Vikindu, Kibonde Mwitu, Mgeni Nani, Tua Ngoma. Huwezi kuizunguka Mbagala Metropolis kwa baisikeli, Pemba unaweza.

Na aliyetuunganisha alikuwa mtu wa tungi mwanzo mwisho
 

Attachments

  • images.jpeg
    images.jpeg
    8.5 KB · Views: 11
Ndio kwanza anajua leo hayo? Ubaguzi ulikuwa ushashitadi wakati yuko active katika siasa na alijua fika na wala hakufanya lolote lile kukomesha au kukaripia tabia hzo. Leo ndio anakuja kuyasema hayo wakati hana nguvu za kuyazuia?
Hata Sasa bado na yeye ni mbaguzi na mkabila.
 
Ulifanya kura ya maoni bara wengi wakasema hawautaki?
Random sampling imeshafanyika sana tu, now it's about time kufanyike official opinion polling.
Vipi wewe unautakaka? You sound so negative labda ni mmoja wa mnaonufaika na muungano?
My personal opinion ni kila mmoja arudi kwao tuanze upya kuulizana kama tunautaka huo muungano au la, sijawahi kuona faida tangible ya muungano.
 
Hakuna jipya hapo maana migawanyiko ndo nafuu ya dola..
Binadamu wenye umoja hawatawaliki..
 
Akizungumza leo Septemba 7, 2026, kwenye Mkutano wa wa Kitaifa wa Kutafakari Hali ya Kisiasa Nchini uliondaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), Jaji Mstaafu, Joseph Sinde Warioba amesema:

"Mmeanza jitihada za ukabila, na sasa hivi tunazungumza hata mambo ya maadili. Tunasema machifu wasimamie maadili, kwa hiyo mnataka tena turudi kwa maadili ya kikabila wakati tulikuwa tumejenga maadili ya taifa. Kwa hiyo tunarudisha kwa njia nyingine tunarudisha ukabila.

Tatu, kuna mpasuko wa dini kwa sasa hivi. Kuna mpasuko wa dini na mpasuko huo unaanza kutugawa. Na umeanza kuwagawa viongozi. Mpasuko wa dini.

Tatu, kuna ukanda. Ukanda umezidi. Tunaanza kujitazama kwa msingi wa ukanda.

Kuna utaifa umechipuka, Uzanzibari, Utanganyika. Tunaanza kujiona sisi ni Wazanzibari, sisi ni Watanganyikaa tunadai haki zetu. Uzanzibari bado wanadai wanataka autonomy zaidi hata kupata bendera. Watanganyika wameanza kudai tunataka serikali yetu na sisi tuendeshe mambo yetu. Utaifa unatugawa. Na tutakapozungumzia Katiba, tutafafanua baadhi ya mambo hayo.

Sasa tufanye nini? Nasema hapa tuone tulikotoka, ilikuwendaje tukapata umoja na mshikamano ni kwamba kulikuwa na misingi..."

Mwalimu Nyerere alikua Rais kutoka Mara na waziri mkuu na mwanasheria wa serikali alikua anatokea mkoa mmoja. Mhhh huu si ulikua upendeleo wa mkoa(Kikanda)
 
Random sampling imeshafanyika sana tu, now it's about time kufanyike official opinion polling.
Vipi wewe unautakaka? You sound so negative labda ni mmoja wa mnaonufaika na muungano?
My personal opinion ni kila mmoja arudi kwao tuanze upya kuulizana kama tunautaka huo muungano au la, sijawahi kuona faida tangible ya muungano.
Random sampling alifanya nani,wapi?
 
Akizungumza leo Septemba 7, 2026, kwenye Mkutano wa wa Kitaifa wa Kutafakari Hali ya Kisiasa Nchini uliondaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), Jaji Mstaafu, Joseph Sinde Warioba amesema:

"Mmeanza jitihada za ukabila, na sasa hivi tunazungumza hata mambo ya maadili. Tunasema machifu wasimamie maadili, kwa hiyo mnataka tena turudi kwa maadili ya kikabila wakati tulikuwa tumejenga maadili ya taifa. Kwa hiyo tunarudisha kwa njia nyingine tunarudisha ukabila.

Tatu, kuna mpasuko wa dini kwa sasa hivi. Kuna mpasuko wa dini na mpasuko huo unaanza kutugawa. Na umeanza kuwagawa viongozi. Mpasuko wa dini.

Tatu, kuna ukanda. Ukanda umezidi. Tunaanza kujitazama kwa msingi wa ukanda.

Kuna utaifa umechipuka, Uzanzibari, Utanganyika. Tunaanza kujiona sisi ni Wazanzibari, sisi ni Watanganyikaa tunadai haki zetu. Uzanzibari bado wanadai wanataka autonomy zaidi hata kupata bendera. Watanganyika wameanza kudai tunataka serikali yetu na sisi tuendeshe mambo yetu. Utaifa unatugawa. Na tutakapozungumzia Katiba, tutafafanua baadhi ya mambo hayo.

Sasa tufanye nini? Nasema hapa tuone tulikotoka, ilikuwendaje tukapata umoja na mshikamano ni kwamba kulikuwa na misingi..."

Huyu anaona 'Udini' pale tu mwislamu anapokuwa rais. Simwungi mkono Samia, ila hili la udini hanalo. Kweli anateuwa Wazanzibari lakini hao wengi ni Waislamu, dini yao. Hakusema hivyo wakai wa Magufuli ambaye baraza lake la Mawaziri lilikuwa 95% Wakristo!
 
Random sampling alifanya nani,wapi?
Random sampling ni maoni ya watu si official, if you doubt it unaweza hata kuifanya humu JF.
All in all nimeuliza swali zaidi moja hapo mbona umejibu la random sampling peke yake?
 
Back
Top Bottom