PostGE2025 Jaji Warioba: Kwa matokeo yale Tume ya Uchaguzi ndiyo ilipiga kura sio Wananchi

PostGE2025 Jaji Warioba: Kwa matokeo yale Tume ya Uchaguzi ndiyo ilipiga kura sio Wananchi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,848
Reaction score
63,306
Kwa hali ile ya siku ya uchaguzi sio rahisi kuwa zaidi ya asilimia 90 ya wapiga kura walijitokeza na mshindi kupata hizo asilimia 97%.

Mwandishi: Kwahiyo matokeo yale ni ya uongo.

Warioba: Ndio.


 
Kwa hali ile ya siku ya uchaguzi sio rahisi kuwa zaidi ya asilimia 90 ya wapiga kura walijitokeza na mshindi kupata hizo asilimia 97%.

Mwandishi: Kwahiyo matokeo yale ni ya uongo.

Warioba: Ndio.

View attachment 3586912
Screenshot_20260502-125101~2.png
 
Kwa hali ile ya siku ya uchaguzi sio rahisi kuwa zaidi ya asilimia 90 ya wapiga kura walijitokeza na mshindi kupata hizo asilimia 97%.

Mwandishi: Kwahiyo matokeo yale ni ya uongo.

Warioba: Ndio.

View attachment 3586912
Mzee amenyooka mno na hachoshi kumsikiliza.......ukweli ndio huo, hakuna kupepesa macho. Mungu aendelee kumjalia afya njema.
 
Mzee Warioba umeamua kuwa mtu wa haki na kusimamia ukweli ktk maisha yake yote. Mungu akubariki akulinde na kukutetea katika kipindi chote cha uhai wako.

Sikuweza kuamini kuwa Watu wazima wenye akili zao timamu kama kina Kabugi, Kyande na wengineo kama wao wangeweza kusimama na kusema uongo. Mbaya zaidi wanafahamu fika kuwa wanachokisema ni uongo. Walaaniwe na vizazi vyao vyote.
 
Back
Top Bottom