Jaji Warioba: Miaka yote watu wanaelewa kujaza fomu, lakini 2020 ghafla hawajui. Siasa inataka kuingia kwenye Dini


 
Kwanini hawakuenda mahakamani?

Kubaki unalialia umeonewa wakati hakuna kesi hata moja mahakamani ya kupinga uchaguzi ni upuuzi na kupoteza muda.
Elitwege please please, kipimo cha busara kitaonekana kwenye ulichokiandika, hebu changia hoja acha inclination za kisiasa. Inamaana wewe ukichaguliwa kwenye kamati hutaweza kutafuta suluhu. Kipimo cha uhalali wa uchaguzi sio namba ya kesi mahakamani hata siku moja. Kuwa mkweli kwa moyo wako.
 
Kwanini hawakuenda mahakamani?

Kubaki unalialia umeonewa wakati hakuna kesi hata moja mahakamani ya kupinga uchaguzi ni upuuzi na kupoteza muda.
Na wewe no mpuuzi no.1 wakati wa magufuli kulikuwepo mahakama? Nani alikuwa yuko tayari kupoteza pesa kwa mawakili wakati ikijulikana wazi kwamba magufuli alijichukulia hatamu zote kuanzia tume ya uchaguzi, bunge, mahakama mpaka magerezani alikuwa akipeleka wapinzani wake na kuwatoa alioona wanakubaliana nae. Muda mchache baada samia kuchukuwa uongozi japokuwa kutoka chama hicho tunaona mabadiliko makubwa kwenye mahakama na vyombo vyengine vya sheria sisi wegine tunashukuru mungu kutuondosha magufuli na mungu aliepushe taifa letu kupata kiongozi kama yule huko tunakoelekea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…