Jaji Warioba: Naamini kwa ratiba iliyopo hatutakuwa na Katiba mwaka 2028

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Jaji mstaafu Joseph Warioba amesema dalili zinaonyesha kuwa serikali imekubali mapendekezo ya Tume ya Jaji Mohamed Chande Othman, ambayo kwa undani wake hatafahamu, isipokuwa kwenye hotuba yake aliyotoa huku utekelezaji wake ukiendelea.

Miongoni mwa mapendekezo makubwa ni kuundwa kwa Tume ya Maridhiano na kukamilisha mchakato wa katiba mpya ifikapo mwaka 2028.

Hivi Warioba hayumo kwenye ile kamati ya Katiba ya CHADEMA.
Mana CDM walishaanza mchakato na tayari Kamati yao ishaanza kazi
 
Jaji mstaafu Joseph Warioba amesema dalili zinaonyesha kuwa serikali imekubali mapendekezo ya Tume ya Jaji Mohamed Chande Othman, ambayo kwa undani wake hatafahamu, isipokuwa kwenye hotuba yake aliyotoa huku utekelezaji wake ukiendelea.

Miongoni mwa mapendekezo makubwa ni kuundwa kwa Tume ya Maridhiano na kukamilisha mchakato wa katiba mpya ifikapo mwaka 2028.

ni muhimu zaidi Mzee Warioba akazingatia ilani ya uchaguzi ya CCM 2025 na itamsaidia sana kuelewa mambo hayo 🐒
 
Jaji mstaafu Joseph Warioba amesema dalili zinaonyesha kuwa serikali imekubali mapendekezo ya Tume ya Jaji Mohamed Chande Othman, ambayo kwa undani wake hatafahamu, isipokuwa kwenye hotuba yake aliyotoa huku utekelezaji wake ukiendelea.

Miongoni mwa mapendekezo makubwa ni kuundwa kwa Tume ya Maridhiano na kukamilisha mchakato wa katiba mpya ifikapo mwaka 2028.

Yeye kipindi chake alifanya nini? Amewahi kuwa waziri mkuu na makamu wa Rais mbona hakufanya hizo movement za katiba mpya? Mzee warioba acha unafiki
 
huyu Mzee bana dah,
janja janja mingi na hana record yoyote ya maana wakati akiwa na nyadhifa zote hizo 🐒
 
Yeye kipindi chake alifanya nini? Amewahi kuwa waziri mkuu na makamu wa Rais mbona hakufanya hizo movement za katiba mpya? Mzee warioba acha unafiki
Kwa hiyo kila mara inapotamkwa utumishi wa Warioba na kazi alizofanya kupitia "tume ya Warioba na mapendekezo yake" huwa masikio na uwezo wako finyu wa akili huwa umeuweka kiunoni mwako?
 
Back
Top Bottom