Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
Gentleman,Sawa, vipi kuhusu hoja ya uwezekano wa 2028 kuwa na katiba mpya kwa ratiba iliyopo? Tunaweza fanikisha kuingia uchaguzi mkuu na serikali za mitaa tukiwa na katiba mpya?
nadhani kwa kuzingatia mwenendo wa utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM 2025, hakuna uwezekano wa chochote kuachwa kutekelezwa na serikali sikivu ya CCM chini ya Dr Samia Suluhu Hassan na Dr Emmanuel John Nchimbi 🐒