Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Hivi Warioba hayumo kwenye ile kamati ya Katiba ya CHADEMA.Jaji mstaafu Joseph Warioba amesema dalili zinaonyesha kuwa serikali imekubali mapendekezo ya Tume ya Jaji Mohamed Chande Othman, ambayo kwa undani wake hatafahamu, isipokuwa kwenye hotuba yake aliyotoa huku utekelezaji wake ukiendelea.
Miongoni mwa mapendekezo makubwa ni kuundwa kwa Tume ya Maridhiano na kukamilisha mchakato wa katiba mpya ifikapo mwaka 2028.
ni muhimu zaidi Mzee Warioba akazingatia ilani ya uchaguzi ya CCM 2025 na itamsaidia sana kuelewa mambo hayo 🐒Jaji mstaafu Joseph Warioba amesema dalili zinaonyesha kuwa serikali imekubali mapendekezo ya Tume ya Jaji Mohamed Chande Othman, ambayo kwa undani wake hatafahamu, isipokuwa kwenye hotuba yake aliyotoa huku utekelezaji wake ukiendelea.
Miongoni mwa mapendekezo makubwa ni kuundwa kwa Tume ya Maridhiano na kukamilisha mchakato wa katiba mpya ifikapo mwaka 2028.
Yeye kipindi chake alifanya nini? Amewahi kuwa waziri mkuu na makamu wa Rais mbona hakufanya hizo movement za katiba mpya? Mzee warioba acha unafikiJaji mstaafu Joseph Warioba amesema dalili zinaonyesha kuwa serikali imekubali mapendekezo ya Tume ya Jaji Mohamed Chande Othman, ambayo kwa undani wake hatafahamu, isipokuwa kwenye hotuba yake aliyotoa huku utekelezaji wake ukiendelea.
Miongoni mwa mapendekezo makubwa ni kuundwa kwa Tume ya Maridhiano na kukamilisha mchakato wa katiba mpya ifikapo mwaka 2028.
Kila kitu na wakati wake. Enzi hizo Rais hakutumia madaraka yake kujinufaisha yeye na familia yake.Yeye kipindi chake alifanya nini? Amewahi kuwa waziri mkuu na makamu wa Rais mbona hakufanya hizo movement za katiba mpya? Mzee warioba acha unafiki
huyu Mzee bana dah,Yeye kipindi chake alifanya nini? Amewahi kuwa waziri mkuu na makamu wa Rais mbona hakufanya hizo movement za katiba mpya? Mzee warioba acha unafiki
Hawapo ndio bahati mbaya,km wazee wenyewe ndio hao kina wasiraHuko kwenye system kama kuna wenye hekima waliokoe taifa hili. Tukipita hiki kipindi bila mabadiliko ya Katiba wala tume ya uchaguzi, 2030 hali itakuwa mbaya zaidi ya tulichokiona 2025.
Tukirudi kwenye hoja yake, 2028 tunaweza kuwa na katiba mpya kwa ratiba iliyopo?Yeye kipindi chake alifanya nini? Amewahi kuwa waziri mkuu na makamu wa Rais mbona hakufanya hizo movement za katiba mpya? Mzee warioba acha unafiki
Sawa, vipi kuhusu hoja ya uwezekano wa 2028 kuwa na katiba mpya kwa ratiba iliyopo? Tunaweza fanikisha kuingia uchaguzi mkuu na serikali za mitaa tukiwa na katiba mpya?huyu Mzee bana dah,
janja janja mingi na hana record yoyote ya maana wakati akiwa na nyadhifa zote hizo 🐒
Kwa hiyo kila mara inapotamkwa utumishi wa Warioba na kazi alizofanya kupitia "tume ya Warioba na mapendekezo yake" huwa masikio na uwezo wako finyu wa akili huwa umeuweka kiunoni mwako?Yeye kipindi chake alifanya nini? Amewahi kuwa waziri mkuu na makamu wa Rais mbona hakufanya hizo movement za katiba mpya? Mzee warioba acha unafiki
Kila jambo na wakati wake, usipokubali kwenda na muda......Yeye kipindi chake alifanya nini? Amewahi kuwa waziri mkuu na makamu wa Rais mbona hakufanya hizo movement za katiba mpya? Mzee warioba acha unafiki
Kabisa.Kama ambavyo waliopo wanaandaa watoto wao washike madaraka baada ya wao ndiyo utegemee wataachia tu kirahisi?CCM itatoka madarakani kwa kumwaga damu sio katiba mpya