Gentleman,Sawa, vipi kuhusu hoja ya uwezekano wa 2028 kuwa na katiba mpya kwa ratiba iliyopo? Tunaweza fanikisha kuingia uchaguzi mkuu na serikali za mitaa tukiwa na katiba mpya?
Sidhani kama mazafakas wana mpango na nia ya dhati kushughulikia Katiba Mpya.Jaji mstaafu Joseph Warioba amesema dalili zinaonyesha kuwa serikali imekubali mapendekezo ya Tume ya Jaji Mohamed Chande Othman, ambayo kwa undani wake hatafahamu, isipokuwa kwenye hotuba yake aliyotoa huku utekelezaji wake ukiendelea.
Miongoni mwa mapendekezo makubwa ni kuundwa kwa Tume ya Maridhiano na kukamilisha mchakato wa katiba mpya ifikapo mwaka 2028.
Ilani ya ccm haijawahi kutimiza yote iliyoyaahidi.ni muhimu zaidi Mzee Warioba akazingatia ilani ya uchaguzi ya CCM 2025 na itamsaidia sana kuelewa mambo hayo 🐒
ushindi wa kishindo kwa CCM katika kila uchaguzi Tanzania ni matokeo ya utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM kwa 100%🐒Ilani ya ccm haijawahi kutimiza yote iliyoyaahidi.
Infact samuya aliidharau katiba waziwazi kwa kuiita kijitabu.
maono na mafunuo ya kinabii yanaungana na ulichokiandika hapa ,na yanatoa wito kwa watakatifu wa Mungu waongeze maombi kuombea amani, na kuomba mabaya yasitokee.Huko kwenye system kama kuna wenye hekima waliokoe taifa hili. Tukipita hiki kipindi bila mabadiliko ya Katiba wala tume ya uchaguzi, 2030 hali itakuwa mbaya zaidi ya tulichokiona 2025.
Ni kwamba kipindi hicho Rais aliyeko madarakani alikuwa anawateua watoto na wakwe zake kuwa mawaziri, kwa sababu katiba ilimruhusu! Alikuwa anawateua watu wa jamii yake kuwa wakuu wa wilaya, wakurugenzi na wakuu wa taasisi mbalimbali! Alikuwa anatapanya hovyo kodi za wananchi kwa matumizi yasiyo na tija! Aliwaruhusu wahuni kujimilikisha raslimali za nchi! Alibinafsisha hovyo raslimali za nchi kwa wageni!Yeye kipindi chake alifanya nini? Amewahi kuwa waziri mkuu na makamu wa Rais mbona hakufanya hizo movement za katiba mpya? Mzee warioba acha unafiki
Jaji mstaafu Joseph Warioba amesema dalili zinaonyesha kuwa serikali imekubali mapendekezo ya Tume ya Jaji Mohamed Chande Othman, ambayo kwa undani wake hatafahamu, isipokuwa kwenye hotuba yake aliyotoa huku utekelezaji wake ukiendelea.
Miongoni mwa mapendekezo makubwa ni kuundwa kwa Tume ya Maridhiano na kukamilisha mchakato wa katiba mpya ifikapo mwaka 2028.
Ilani ya 2015 pia ilizungumzia hivyoni muhimu zaidi Mzee Warioba akazingatia ilani ya uchaguzi ya CCM 2025 na itamsaidia sana kuelewa mambo hayo 🐒
Nyerere ndiyo alizingua kutuletea hii katiba uchwaraNi kwamba kipindi hicho Rais aliyeko madarakani alikuwa anawateua watoto na wakwe zake kuwa mawaziri, kwa sababu katiba ilimruhusu! Alikuwa anawateua watu wa jamii yake kuwa wakuu wa wilaya, wakurugenzi na wakuu wa taasisi mbalimbali! Alikuwa anatapanya hovyo kodi za wananchi kwa matumizi yasiyo na tija! Aliwaruhusu wahuni kujimilikisha raslimali za nchi! Alibinafsisha hovyo raslimali za nchi kwa wageni!
Ni kwamba uelewa wa wananchi wa wakati huo ni sawa tu na uelewa wa wananchi wa sasa!