Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Imekuwa mazoea, mamlaka imepata kimbilio la kutesa wasio hata na manati wala fimbo.Waziri Mkuu na Jaji mstaafu, Joseph Sinde Warioba, ameelezea kushangazwa na kuumizwa na wimbi jipya la ukamataji wa raia, wakiwemo wasomi, ambao wengine hufunguliwa mashtaka ya ugaidi mara tu wanapopata dhamana katika makosa ya awali.
Akizungumza katika mahojiano maalumu na tovuti ya The Jenerali Ulimwengu Post kuhusu hali ya kisiasa nchini, Jaji Warioba amebainisha kuwa kuna mwelekeo wa mamlaka kutumia sheria za makosa yasiyo na dhamana kama nyenzo ya kutisha wananchi na kuwakosesha haki yao ya uhuru.
Soma Pia: Mhadhiri UDOM aliyepewa dhamana na Mahakama, sasa apewa shitaka la ugaidi, ahamishiwa Gereza la Isanga
Jaji Warioba ametoa mfano wa kesi ya hivi karibuni mkoani Dodoma inayomhusu mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma, Melkisedeki Kaijage ambaye awali alishtakiwa kwa kosa la uchochezi ambalo kisheria lina dhamana. Alieleza kuwa baada ya mahakama kuridhia kumpa dhamana, mashtaka yalibadilishwa ghafla na kuwa ya ugaidi
Mkuu una kazi ngumu sana ya kumtetea Kizimkazi!Kuna kipindi chochote kimewahi pita wahalifu hawajakamatwa? Kipindi chake na Nyerere hawakukamata wahalifu?!!!
Mwambie kwa kabila lake labda atakuelewa.Mkuu una kazi ngumu sana ya kumtetea kilaza wa kizimkazi!
Yeye mwenyewe akili hana anahitaji kukombolewa kifikra yaani hapo anatembelea mihemko akili hanaaMkuu una kazi ngumu sana ya kumtetea kilaza wa kizimkazi!
kwamba siku hizi kutoa mafunzo ya kukataa wizi, utekaji ni uhalifuZee punga kweli hili. Anataka sifa kwa nyumbu, sio? Kuna kipindi chochote kimewahi pita wahalifu hawajakamatwa? Kipindi chake na Nyerere hawakukamata wahalifu?!!! Akwende zake huko zee lililofeli hilo.
Anashangaa vipi! Kwani hajuhi kinachoendelea, ccm ni criminal state,Waziri Mkuu na Jaji mstaafu, Joseph Sinde Warioba, ameelezea kushangazwa na kuumizwa na wimbi jipya la ukamataji wa raia, wakiwemo wasomi, ambao wengine hufunguliwa mashtaka ya ugaidi mara tu wanapopata dhamana katika makosa ya awali.
Akizungumza katika mahojiano maalumu na tovuti ya The Jenerali Ulimwengu Post kuhusu hali ya kisiasa nchini, Jaji Warioba amebainisha kuwa kuna mwelekeo wa mamlaka kutumia sheria za makosa yasiyo na dhamana kama nyenzo ya kutisha wananchi na kuwakosesha haki yao ya uhuru.
Soma Pia: Mhadhiri UDOM aliyepewa dhamana na Mahakama, sasa apewa shitaka la ugaidi, ahamishiwa Gereza la Isanga
Jaji Warioba ametoa mfano wa kesi ya hivi karibuni mkoani Dodoma inayomhusu mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma, Melkisedeki Kaijage ambaye awali alishtakiwa kwa kosa la uchochezi ambalo kisheria lina dhamana. Alieleza kuwa baada ya mahakama kuridhia kumpa dhamana, mashtaka yalibadilishwa ghafla na kuwa ya ugaidi
View attachment 3650836
Hatari sana.Mkuu una kazi ngumu sana ya kumtetea kilaza wa kizimkazi!
QmmkoZee punga kweli hili. Anataka sifa kwa nyumbu, sio? Kuna kipindi chochote kimewahi pita wahalifu hawajakamatwa? Kipindi chake na Nyerere hawakukamata wahalifu?!!! Akwende zake huko zee lililofeli hilo.
Huyo Mzee Warioba ni mnafiki. Yeye akiwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali na baadae Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania watu waliwekwa ndani bila hata ya vyombo vya habari kujua. Marehemu Mzee James Mapalala, Maalim Seif Sharrif Hamad, Marehemu Christopher Kassanga Tumbo na Marehemu Chifu Said Fundikira kutaja wachache, wote hawa waliteseka sana yeye Mzee Warioba akiwa na madaraka makubwa. Kama anataka kujiosha, kwanza awaombe msamaha marehemu hao na familia zao.Waziri Mkuu na Jaji mstaafu, Joseph Sinde Warioba, ameelezea kushangazwa na kuumizwa na wimbi jipya la ukamataji wa raia, wakiwemo wasomi, ambao wengine hufunguliwa mashtaka ya ugaidi mara tu wanapopata dhamana katika makosa ya awali.
Akizungumza katika mahojiano maalumu na tovuti ya The Jenerali Ulimwengu Post kuhusu hali ya kisiasa nchini, Jaji Warioba amebainisha kuwa kuna mwelekeo wa mamlaka kutumia sheria za makosa yasiyo na dhamana kama nyenzo ya kutisha wananchi na kuwakosesha haki yao ya uhuru.
Soma Pia: Mhadhiri UDOM aliyepewa dhamana na Mahakama, sasa apewa shitaka la ugaidi, ahamishiwa Gereza la Isanga
Jaji Warioba ametoa mfano wa kesi ya hivi karibuni mkoani Dodoma inayomhusu mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma, Melkisedeki Kaijage ambaye awali alishtakiwa kwa kosa la uchochezi ambalo kisheria lina dhamana. Alieleza kuwa baada ya mahakama kuridhia kumpa dhamana, mashtaka yalibadilishwa ghafla na kuwa ya ugaidi
View attachment 3650836
Hao wote uliowataja, hakuna aliyepigwa risasi na Serikali ya Nyerere, hata mmoja.Huyo Mzee Warioba ni mnafiki. Yeye akiwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali na baadae Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania watu waliwekwa ndani bila hata ya vyombo vya habari kujua. Marehemu Mzee James Mapalala, Maalim Seif Sharrif Hamad, Marehemu Christopher Kassanga Tumbo na Marehemu Chifu Said Fundikira kutaja wachache, wote hawa waliteseka sana yeye Mzee Warioba akiwa na madaraka makubwa. Kama anataka kujiosha, kwanza awaombe msamaha marehemu hao na familia zao.
Baada ya hapo akawaombe msamaha walevi wenzake wa Sisimko Bar aliowatumia Polisi kuwachapa akiwasingizia wamemuibia saa yake ya mkononi kumbe aliiamgusha kwenye gari akiwa amelewa!
Acha kujitia upofu wewe chawa pumbafuZee punga kweli hili. Anataka sifa kwa nyumbu, sio? Kuna kipindi chochote kimewahi pita wahalifu hawajakamatwa? Kipindi chake na Nyerere hawakukamata wahalifu?!!! Akwende zake huko zee lililofeli hilo.
Na kujipalia dhambi bure kushambulia wanaosema ukweliMkuu una kazi ngumu sana ya kumtetea kilaza wa kizimkazi!
Kuna wakati tulia sikiliza kinacho zungumzwa kwa makini kila mtu ana historia mbaya na nzuri na kuwa na historia mbaya hakukufanyi uwe mbaya kila siku za maisha yako kuna wakati wa kubadilika na kuwa mwema bila kujali ni wakati gani!Huyo Mzee Warioba ni mnafiki. Yeye akiwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali na baadae Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania watu waliwekwa ndani bila hata ya vyombo vya habari kujua. Marehemu Mzee James Mapalala, Maalim Seif Sharrif Hamad, Marehemu Christopher Kassanga Tumbo na Marehemu Chifu Said Fundikira kutaja wachache, wote hawa waliteseka sana yeye Mzee Warioba akiwa na madaraka makubwa. Kama anataka kujiosha, kwanza awaombe msamaha marehemu hao na familia zao.
Baada ya hapo akawaombe msamaha walevi wenzake wa Sisimko Bar aliowatumia Polisi kuwachapa akiwasingizia wamemuibia saa yake ya mkononi kumbe aliiamgusha kwenye gari akiwa amelewa!
Dah! We mwamba na siasa unazijua kweri kweri!Hao wote uliowataja, hakuna aliyepigwa risasi na Serikali ya Nyerere, hata mmoja.
Walisumbuana kisiasa wakafanya siasa zao, wakazeeka, wakajifia vifo vya asili.
Ninyi mmechagua kuuwa kila anayewakosoa kwa risasi na mateso makali.
Msijilinganishe na utawala wa Nyerere. Oneni aibu. Labda mjilinganishe na Syria, Rwanda, na Uganda
Ahahahahaha! Kwamba ukiwa madarakani "ruksa" kuwa na Historia mbaya ila ukiishatoka uanze kuwasema vibaya walio madarakani sio? Nimekusoma!ππππKuna wakati tulia sikiliza kinacho zungumzwa kwa makini kila mtu ana historia mbaya na nzuri na kuwa na historia mbaya hakukufanyi uwe mbaya kila siku za maisha yako kuna wakati wa kubadilika na kuwa mwema bila kujali ni wakati gani!
Sasa si unakuwa sio mnufaika ndio maana unayaona makosa ya walipo kwa wakati huo, na wakati mwingine roho ya wivu maana yawezekana kwa wakati ukiwa madarakani kuna mambo uliogopa ukadhani hayawezekani lakini baadae ukaja kujua kumbe inawezekana kwa nini sijufanyaga nikiwa madarakani sasa u aona bora uwasagie kunguni tuu wawakati huo. UBINAFSIAhahahahaha! Kwamba ukiwa madarakani "ruksa" kuwa na Historia mbaya ila ukiishatoka uanze kuwasema vibaya walio madarakani sio? Nimekusoma!ππππ