Nyendo
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 1,455
- 5,134
Jaji Joseph Sinde Warioba ameyasema hayo kwenye Mahojiano yaliyochapishwa leo 10, Mei 2026 na The Chanzo, ambapo amesema kuwa alikuwa akisikia kuwa wananchi watulie kwa kuwa Serikali imeunda tume.
Hivyo alitegemea baada ya tume kuweka ripoti hadharani ingebaki kuwa wazi na kusomwa na watu wote ili kujua tume imefanya kazi vipi na imependekeza nini na hiyo ya kusema ni ripoti ya Rais ilimstua sana.
Mazungumzo hayo yalifanyika mnamo Mei 09, 2026, ambapo Jaji Joseph Warioba aliweza kupokea maswali kutoka kwa Mzee Jenerali Ulimwengu na khalifa Said.