Unaonyesha kiwango cha juu cha upumbavu mzee Makamba. Huyu anajiamini siyo mmoja wa wazee wa hovyo kama nyie na akina Wassira, ana guts za kuzungumzia hatma ya Tanzania, anaipenda Tanzania ni ni mzalendo wa kweli siyo mzee wa hovyo kama wewe Makamba.Muhimu zaidi uchaguzi umekwisha kwa salama na amani na viongozi kako kazini..
kufukua makaburi ni story na porojo za kupoteza muda tu.
kama taifa,
tunajiandaa na uchaguzi wa madiwani wabunge na Rais October 2025š
Huoni madhara yanayoweza kutokea yanayopangwa na CCM kwa sababu mmeiba na mnanufaika mkijua mna polisi wa kuwalinda. Muumba hadhihakiwi wapumbavu nyie mnafikiri mtadumu kwenye wizi na mauaji kwa kutetea matumbo yenu milele?
Muache mzalendo wa kweli kaeni na Kikwetw mwizi mwenzenu


