LGE2024 Jaji Warioba: Tusidanganyike kuamini walioenguliwa hawakufuata masharti

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Muhimu zaidi uchaguzi umekwisha kwa salama na amani na viongozi kako kazini..

kufukua makaburi ni story na porojo za kupoteza muda tu.

kama taifa,
tunajiandaa na uchaguzi wa madiwani wabunge na Rais October 2025πŸ’
Nilitaka kuuliza hili li Tlaatlaah lina maoni gani, kumbe tayari limeshatoa uharo wake.
 
Mungu akupe maisha marefu mzee wa Taifa, umesema kweli ambayo wengi tunaogopa kusema
 
Huyu mzee ni mwana ccm pekee aliyebaki na ubongo ,wengine wote mafuvu yamejaa kamasi na tope
 
Kwanza fomu si karatasi ya mtihani. Ni kuonesha tu vigezo, na kama kuna makosa yanasahihishwa tu badala ya kuenguana. Ikitokea mjazaji mwanaume (Me) kakosea na kujiandika mwanamke (Ke), anaitwa na kurebisha mara moja kama tunavyorekebishana benki.

Tunajiabisha tunapowabagua Watanzania wenzetu kwa misingi ya vyama vya siasa. Ni dhambi kubwa kwa mustabali mwema wa taifa letu.
 
Amenigusa aliposema "...ipo siku polisi na watagawanyika madhara yake mtayaona"
 
CCM ni chama dhaifu kabisa hakiwezi kupata ushindi bila kuengua wapinzani na kuiba kura, wamejiridhisha kabisa hawana ushawishi wa kutosha kuweza kuchaguliwa katika uchaguzi ulio huru na wa haki.
Waambie ukweli Hawa machawa hawaelewi kitu chochote kabisa! Halafu Kuna mwehu mmoja anaitwa kigogo media anasema Warioba asijihusishe na Siasa muda wake eti umeisha! Pumbavu kabisa! Likigogo sijui linataka Nini!!! Shenzi sana!
 
Muhimu zaidi uchaguzi umekwisha kwa salama na amani na viongozi kako kazini..

kufukua makaburi ni story na porojo za kupoteza muda tu.

kama taifa,
tunajiandaa na uchaguzi wa madiwani wabunge na Rais October 2025πŸ’
Sawa CHAWA, kapokee mgao wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…