Akizungumza mbele ya Media Council of Tanzania, waziri mkuu mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba
Ninatazama bunge la Dodoma, imekuwa fasheni kila mbunge kuanza mchango wake wa hoja kwa kutaja na kumsifia rais.
Vyombo vya habari kwa nyakati ya sasa hivi badala ya kutoa habari vimegeuka kuwa vyombo vya propaganda yaani uchawa ...
Woga umetamalaki kwa kisingizio cha self censorship/ nidhamu ya woga, hakuna habari za kiuchunguzi yaani zili zilizofayiwa research kwa kuogopa zinaweza kuwa kinzani na uchawa uliopo anasema Jaji Joseph Sinde Warioba ...
Waziri mkuu mstaafu anabainisha kuwa mwaka 1961 alifanya kazi na chombo cha media cha The Standard kabla ya kujiunga na masomo ya juu ya Chuo Kikuu. Hivyo anakumbuka viwango vya uandishi wa habari enzi hizo, na kulinganisha na hivi sasa ambapo yeye ni sehemu ya consumer society yaani walaji na anaona mapungufu makubwa ya viwango vya uandishi na utoaji habari ... kutokana na woga kuwakaba Media na hata viongozi..
Jaji Joseph Sinde Warioba anasema aliteuliwa katika Tume ya Haki Jinai kisha pia kuingizwa ktk Kamati ya Kutekekeza Mapendekezo ya Tume. Huko pia aliona woga wa wananchi ambao wengi hawataki kutoa ushirikiano kwa vyombo vya Haki Jinai kama Polisi, TAKUKURU n.k kwa kuhofia kupata matatizo ...
Wananchi wanahitaji habari za kila aina siyo hizi za uchawa / propaganda pekee zinazobebwa na media zote kusifia au kupamba kinamna habari zinazopendwa kusikika na viongozi....anasema Jaji Warioba.
Nafahamu kika chombo cha habari kina editorial policy / sera za mwegemeo, lakini vyombo hivyo visiwe kama kasuku kwa kutoa habari zenye chanzo / source kimoja bali vifanye research / uchunguzi ili habari katika vyombo vya habari ziaminike na kuwa habari zenye kuweza kufanyiwa rejea au kunukuliwa kwa uhakika.... ..
Jaji Joseph Warioba anawasa waandishi habari nguli na wahariri waliojitokeza kwa wingi kuhudhuria mkutano ulioandaliwa na Jukwaa la Wanahabari wa Tanzania / Media Council of Tanzania, kuwa tabia ya kuendekeza uchawa / propaganda haiwasaidi wananchi wala viongozi ....
Nchi hii imejenga matabaka mawili yaani la juu ni viongozi, private sector na ninyi wasomi waandishi wa habari / wahariri na kujitambulisha kama tabaka 'muhimu' .....
Na tabaka hili la kwanza hufanya mikutano ya 'viongozi' bila kushirikisha tabaka la wananchi. Na item / point ya kwanza badala ya kuanza na ajenda, utambulisho ndiyo unaanza kwa urefu sana dakika hadi 15 kutaja kila kiongozi ... na kuhitimishwa itifaki / protokali imezingati.....
Jaji Warioba anasema masuala ya Itifaki imezingatiwa alianza kuona na kusikia Nigeria ambapo wenzetu kule hutaja viongozi wawili tu na wengine wote huingiza ktk kundi la itifaki imezingatiwa. Lakini hapa kwetu Tanzamia kutokana na uchawa huwa tunataja viongozi wote na itifaki inazingatiwa ni kwa kundi la wananchi wasio viongozi...
Hotuba ya bajeti ya waziri wa fedha ilichukua ilikuwa ya masaa 2 na dakika 6 baada ya hapo utambulisho ikichukua dakika 40 kuwataja viongozi waliopo ukumbini, lakini wakasahau kuwa nje ya ukumbi kuna wananchi wanasikiliza hawa hawakutajwaa kabisa wakati hii ni bajeti ya nchi siyo wa viongozi .. .Jaji Wariiba anasimulia kasumba hii ilivyoota mizizi ...
Hata hotuba zimekuwa watu wetu / wangu , zamani ilikuwa katika hotuba neno wananchi ndiyo limetamalaki anabainisha jaji Joseph Warioba kuonesha tabaka .... wananchi wamekuwa kama ni mali ya viongozi wakati wananchi ndiyo waliowaajiri viongoziv....
Kauli za wananchi waelimishwe baada ya kuanda sera au muswada inaukakasi asema Jaji Warioba. Ni kutokana na sisi tabaka la viongozi waanda sera kutowashirikisha wananchi toka mwanzo, kwa kuwa viongozi wanajiona wanahaki ya kuandaa muswada au sera bila kushirikisha umma, kisha wananchi waelimishwe..
Jaji Warioba anasema wanachofanya wananchi hakifahamiki, mfano angalia vichwa vya habari asubuhi ktk magazeti, radio, televisheni , online n.k zimesheheni matamko ya viongozi .... mgomo wa Kariakoo tuliona tu habari ya maduka kufungwa lakini habari ya maandalizi ya mgomo hayakuandikwa hii ina maana hawakusikilizwa na viongozi wala media hadi maduka yalipofungwa kwa mgomo, je hii ni bahati mbaya au ni tabaka la viongozi, wasomi wanahabari kutosikiliza kero za wafanyabishara wa Kariakoo ....
Tumeona kwa majirani zetu jinsi ndoa ya uchawa baina ya viongozi, wasomi waandishi habari, private sector walivyopuuza habari za kero za wananchi kisha kizazi cha 'Gen Z' kilivyolipuka kiaina na nchi hiyo kuingia ktk matatizo .....atoa mfano Jaji Warioba
Sera inakuwa rahisi kukubalika ikiwa viongozi, wasomi ikiwemo waandishi habari, private sector kuwauliza wananchi wanataka nini, vipaumbele vyao n.k badala ya tabaka lenu kujifungia kutunga sera halafu mkajidai mnaenda kuelimisha wananchi. Jaji Warioba anakiri alipokuwa kiongozi alijifunza mengi kutoka kwa wananchi, lakini sasa tabaka la juu la viongozi, wasomi wanadhani hawawezi kujifunza kutoka kwa wananchi .... jaji Joseph Warioba anawaasa tabaka hili la juu liliojitenga na wananchi....
Jaji Warioba tumeona kwa majirani zetu jinsi ndoa ya uchawa baina ya viongozi, wasomi waandishi habari, private sector walivyopuuza habari za kero za wananchi kizazi cha Gen-Z ......
Jaji Warioba viongozi wanasema tutengeneze mazingira mazuri kwa wawekezaji, halafu tatatue kinachoitwa kero za wananchi. Kumbe hawaelewi kuwa wananchi hawana kero bali wanataka mazingira mazuri iwe ya sekta ya kilimo, utawala bora na haki lakini viongozi wao wanaona hizo ni kero ... ni kwa,sababu viongozi hawajasikiliza maoni ya wananchi hivyo madai ya fursa viongozi wanaoni ni sawa na kero.....