Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
Watafura leoAkizungumza na waandishi wa habari leo Ijumaa Oktoba, Jaji Joseph Warioba amewataka viongozi wa serikali wa nafasi mbalimbali kuacha kuingilia majukumu na kazi za vyombo...
Siku vita itakapokuja ndio tutajuaSahivi ni fasheni kuongozwa misafara kama vile timu ipo vitani
Mzee warioba bana dah! Yeye mpaka kesho analindwa..Akizungumza na waandishi wa habari leo Ijumaa Oktoba, Jaji Joseph Warioba amewataka viongozi wa serikali wa nafasi mbalimbali kuacha kuingilia majukumu na kazi za vyombo vya ulinzi na usalama badala yake waviache vyombo hivyo vitumize wajibu wake kwa mujibu wa Katiba, sheria na miongozo stahiki
Sambamba na hilo Jaji Warioba pia ametoa rai kwa Wakuu wa Mikoa na wilaya ambao kimsingi ni Wenyeviti wa Kamati za Ulinzi na Usalama kwenye mikoa na wilaya zao kuacha kuandamana na maafisa/askari wa vyombo vya ulinzi na usalama pindi wanapofanya ziara za kukutana na wananchi.
Credit: Jambo
Warioba ni mwingoni mwa wazee, wenye uchungu sana na inchi hii ,Mungu ampe maisha marefu.Akizungumza na waandishi wa habari leo Ijumaa Oktoba, Jaji Joseph Warioba amewataka viongozi wa serikali wa nafasi mbalimbali kuacha kuingilia majukumu na kazi za vyombo vya ulinzi na usalama badala yake waviache vyombo hivyo vitumize wajibu wake kwa mujibu wa Katiba, sheria na miongozo stahiki
Sambamba na hilo Jaji Warioba pia ametoa rai kwa Wakuu wa Mikoa na wilaya ambao kimsingi ni Wenyeviti wa Kamati za Ulinzi na Usalama kwenye mikoa na wilaya zao kuacha kuandamana na maafisa/askari wa vyombo vya ulinzi na usalama pindi wanapofanya ziara za kukutana na wananchi.
Credit: Jambo
Dhalimu magu ndio muasisi wa tabia hii, na itachukua muda mrefu tabia hiyo kuondoka.Sahivi ni fasheni kuongozwa misafara kama vile timu ipo vitani
Aache unafiki.Akizungumza na waandishi wa habari leo Ijumaa Oktoba, Jaji Joseph Warioba amewataka viongozi wa serikali wa nafasi mbalimbali kuacha kuingilia majukumu na kazi za vyombo vya ulinzi na usalama badala yake waviache vyombo hivyo vitumize wajibu wake kwa mujibu wa Katiba, sheria na miongozo stahiki
Sambamba na hilo Jaji Warioba pia ametoa rai kwa Wakuu wa Mikoa na wilaya ambao kimsingi ni Wenyeviti wa Kamati za Ulinzi na Usalama kwenye mikoa na wilaya zao kuacha kuandamana na maafisa/askari wa vyombo vya ulinzi na usalama pindi wanapofanya ziara za kukutana na wananchi.
Credit: Jambo
Tunaunga mkono, Maana Geshi la Polisi na Mahakama zimekuwa kama chombo cha sir wanasiasa Mahakama zilikuwa kama tawi la "wahuni"Akizungumza na waandishi wa habari leo Ijumaa Oktoba, Jaji Joseph Warioba amewataka viongozi wa serikali wa nafasi mbalimbali kuacha kuingilia majukumu na kazi za vyombo vya ulinzi na usalama badala yake waviache vyombo hivyo vitumize wajibu wake kwa mujibu wa Katiba, sheria na miongozo stahiki
Sambamba na hilo Jaji Warioba pia ametoa rai kwa Wakuu wa Mikoa na wilaya ambao kimsingi ni Wenyeviti wa Kamati za Ulinzi na Usalama kwenye mikoa na wilaya zao kuacha kuandamana na maafisa/askari wa vyombo vya ulinzi na usalama pindi wanapofanya ziara za kukutana na wananchi.
Credit: Jambo
Duh wewe na huyo Magu! kwani hiyo tabia aliiweka kwenye katiba kiasi kwamba hata ambapo yeye hayupo ila lazima iendelee?Dhalimu magu ndio muasisi wa tabia hii, na itachukua muda mrefu tabia hiyo kuondoka.
Alipandikiza kinga ya viongozi kutawala wanavyoona bila kuhojiwa. Ni kiongozi gani anapenda kutawala kwa kuhojiwa hasa hawa wanaoingia madarakani kwa chaguzi za kihuni?Duh wewe na huyo Magu! kwani hiyo tabia aliiweka kwenye katiba kiasi kwamba hata ambapo yeye hayupo ila lazima iendelee?
Kuna wakati huwa mnafanya nijiulize hivi hii Tanzania ilikuaje kabla ya Magufuli maana inaonekana alivyoingia yeye madarakani ndio kabadili kila kitu, ina maana kumbe Tanzania ilikuwa tunaweza kuwahoji watawala wetu ila Magu ndio alikuja kubadili hiyo hali?Alipandikiza kinga ya viongozi kutawala wanavyoona bila kuhojiwa. Ni kiongozi gani anapenda kutawala kwa kuhojiwa hasa hawa wanaoingia madarakani kwa chaguzi za kihuni?
Ni kwamba hatujui tofauti ya wakati wa ulevi wake wa madaraka na wengineo?Kuna wakati huwa mnafanya nijiulize hivi hii Tanzania ilikuaje kabla ya Magufuli maana inaonekana alivyoingia yeye madarakani ndio kabadili kila kitu, ina maana kumbe Tanzania ilikuwa tunaweza kuwahoji watawala wetu ila Magu ndio alikuja kubadili hiyo hali?
Tanzania ilikuaje kabla ya Magufuli hajawa rais?Ni kwamba hatujui tofauti ya wakati wa ulevi wake wa madaraka na wengineo?
Huyu jaji nini kimempata! Inamaana haoni uovu uliojitokeza unaofanywa na vyombo vya dola ikiwemo uvunjwaji wa makusudi wa katiba na haki ya kuishi!Akizungumza na waandishi wa habari leo Ijumaa Oktoba, Jaji Joseph Warioba amewataka viongozi wa serikali wa nafasi mbalimbali kuacha kuingilia majukumu na kazi za vyombo vya ulinzi na usalama badala yake waviache vyombo hivyo vitumize wajibu wake kwa mujibu wa Katiba, sheria na miongozo stahiki