Socrate2024
Member
- Sep 10, 2024
- 35
- 53
Naona haujamuelewa mzee Warioba!Mzee warioba bana dah! Yeye mpaka kesho analindwa..
Yaan mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wa wilaya au mkoa asiambatane na askari ?🤣
Chairman wa Chadema tu ana walinzi Kibao na yupo kwenye mikutano wa hadhara tu...
sasa atakua mwenyekiti gani huyo wa ulinzi na usalama wa wilaya au mkoa kama haambatani na askari wa ulinzi?🐒
Ulinzi kwa Kiongozi ni jambo lingine na vyombo vyambo vya ulinzi na usalama vya mkoa/wilaya ni jambo lingine. Kwa kingozi wa serikali kuwa na mlinzi haina shida kabisa.
Issue inakuja pale let’s say Mkuu wa mkoa anapotembelea wananchi eneo fulani anakuwa na msukulu wa maafisa wa police/usalama, hii haina na haileti picha nzuri katika dhana ya uongozi, unaenda kuwatisha wananchi? Hiyo inakuwa ni matumizi mabaya ya madaraka na rasilimali za nchi. Kufanya hivyo unawatisha wananchi.
Kwahiyo mzee Warioba kaongea vyema kabisa, kongole kwake. Tatizo viongozi wengi wa siku hizi ni LIMBUKENI wa madaraka na kichwani ni hamnazo!!!