Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Hapakuwa na ulazima.Swali ni je, palikua na ulazima wa watu kufa, kuuwawa ama matumizi ya risasi za moto??
wajinga akina Tlaatlaah wataja kwambia kwasababu wananchi walikuwa wanaharibu miundombinu na uporaji wa mali.Swali ni je, palikua na ulazima wa watu kufa, kuuwawa ama matumizi ya risasi za moto??
Nimezidi kumheshimu Warioba. Anaongea kama mtu mwenye conscience sio mwanasiasa. Anapaswa kusikilizwa.Jaji Mstaafu Joseph Sinde Warioba, Oktoba 29 vyombo vya usalama vilijiandaa zaidi kwa bunduki na risasi, kwasababu ndiyo wametumia zaidi.
Akizungumza kuhusu suala hilo, Warioba amesema tathmini ya matumizi ya nguvu inapaswa kuangaliwa kwa uhalisia, hususan kwa kuzingatia idadi ya vifo vilivyotokea. Ameeleza kuwa maandamano yamesababisha vifo vingi, jambo linalozua maswali kuhusu aina ya maandalizi yaliyofanywa na vyombo vya ulinzi na usalama.
Soma: Jaji Warioba: Waliouawa tarehe 29 ni wengi kuliko waliouawa kwenye Vita ya Tanzania na Kagera
Kwa mujibu wa Warioba, kwa takribani miaka miwili vyombo hivyo vilikuwa vimeelekezwa kujiandaa kusimamia mchakato wa uchaguzi ili uwe huru, wa haki na wa amani. Hali hiyo ilisababisha wananchi kudhani maandalizi hayo yalikuwa kwa ajili ya kudhibiti hali endapo kungetokea vurugu.
“Hivyo basi, tunajiuliza: walijiandaa vipi? Je, walijiandaa kwa bunduki na risasi? Kwa sababu hizo ndizo zimeonekana kutumika zaidi,” amesema Warioba.
Ameongeza kuwa kinachopaswa kujadiliwa ni aina ya maandalizi yaliyofanyika na kama nguvu iliyotumika ililingana na mazingira halisi ya tukio. Kwa maoni yake, matumizi ya silaha za moto dhidi ya waandamanaji wasio na silaha za kisasa yanahitaji kuwekewa wazi ili jamii iweze kufanya tathmini ya haki.
“Hapa unashughulika na vijana ambao hawana silaha za kisasa, lakini wewe una bunduki na risasi, unatumia nguvu na kuua. Basi matukio haya yawekwe wazi ili tuweze kuamua kama kweli nguvu iliyotumika ilistahili. Kwa maoni yangu, hali ilikuwa tofauti."
Video: Jamhuri TV
Mtu muhuni kama JK analeta Janamke wala halina maadili, ati lipewe umakamu wa Rais kwa sababu ya jinsia, halafu linakuja kuharibu taswira ya nchi iloyokuweko tangu miaka 65 iliyopita. Siku moja tu limeangusha nchi. Duuu.Jaji Mstaafu Joseph Sinde Warioba, Oktoba 29 vyombo vya usalama vilijiandaa zaidi kwa bunduki na risasi, kwasababu ndiyo wametumia zaidi.
Akizungumza kuhusu suala hilo, Warioba amesema tathmini ya matumizi ya nguvu inapaswa kuangaliwa kwa uhalisia, hususan kwa kuzingatia idadi ya vifo vilivyotokea. Ameeleza kuwa maandamano yamesababisha vifo vingi, jambo linalozua maswali kuhusu aina ya maandalizi yaliyofanywa na vyombo vya ulinzi na usalama.
Soma: Jaji Warioba: Waliouawa tarehe 29 ni wengi kuliko waliouawa kwenye Vita ya Tanzania na Kagera
Kwa mujibu wa Warioba, kwa takribani miaka miwili vyombo hivyo vilikuwa vimeelekezwa kujiandaa kusimamia mchakato wa uchaguzi ili uwe huru, wa haki na wa amani. Hali hiyo ilisababisha wananchi kudhani maandalizi hayo yalikuwa kwa ajili ya kudhibiti hali endapo kungetokea vurugu.
“Hivyo basi, tunajiuliza: walijiandaa vipi? Je, walijiandaa kwa bunduki na risasi? Kwa sababu hizo ndizo zimeonekana kutumika zaidi,” amesema Warioba.
Ameongeza kuwa kinachopaswa kujadiliwa ni aina ya maandalizi yaliyofanyika na kama nguvu iliyotumika ililingana na mazingira halisi ya tukio. Kwa maoni yake, matumizi ya silaha za moto dhidi ya waandamanaji wasio na silaha za kisasa yanahitaji kuwekewa wazi ili jamii iweze kufanya tathmini ya haki.
“Hapa unashughulika na vijana ambao hawana silaha za kisasa, lakini wewe una bunduki na risasi, unatumia nguvu na kuua. Basi matukio haya yawekwe wazi ili tuweze kuamua kama kweli nguvu iliyotumika ilistahili. Kwa maoni yangu, hali ilikuwa tofauti."
Video: Jamhuri TV
Huo ndiyo ukweli, hakuna namna wale waharibifu na wezi wangedhibitiwa bila risasi za moto. Haijalishi Jaji Warioba kasema niniwajinga akina Tlaatlaah wataja kwambia kwasababu wananchi walikuwa wanaharibu miundombinu na uporaji wa mali.
Kitu ambacho sio kweli walokuwa wakifanya uharibifu na wizi ni polisi pamoja na mamluki wengine
Akizungumza kuhusu suala hilo, Warioba amesema tathmini ya matumizi ya nguvu inapaswa kuangaliwa kwa uhalisia, hususan kwa kuzingatia idadi ya vifo vilivyotokea. Ameeleza kuwa maandamano yamesababisha vifo vingi, jambo linalozua maswali kuhusu aina ya maandalizi yaliyofanywa na vyombo vya ulinzi na usalama.
Soma: Jaji Warioba: Waliouawa tarehe 29 ni wengi kuliko waliouawa kwenye Vita ya Tanzania na Kagera
Kwa mujibu wa Warioba, kwa takribani miaka miwili vyombo hivyo vilikuwa vimeelekezwa kujiandaa kusimamia mchakato wa uchaguzi ili uwe huru, wa haki na wa amani. Hali hiyo ilisababisha wananchi kudhani maandalizi hayo yalikuwa kwa ajili ya kudhibiti hali endapo kungetokea vurugu.
“Hivyo basi, tunajiuliza: walijiandaa vipi? Je, walijiandaa kwa bunduki na risasi? Kwa sababu hizo ndizo zimeonekana kutumika zaidi,” amesema Warioba.
Ameongeza kuwa kinachopaswa kujadiliwa ni aina ya maandalizi yaliyofanyika na kama nguvu iliyotumika ililingana na mazingira halisi ya tukio. Kwa maoni yake, matumizi ya silaha za moto dhidi ya waandamanaji wasio na silaha za kisasa yanahitaji kuwekewa wazi ili jamii iweze kufanya tathmini ya haki.
“Hapa unashughulika na vijana ambao hawana silaha za kisasa, lakini wewe una bunduki na risasi, unatumia nguvu na kuua. Basi matukio haya yawekwe wazi ili tuweze kuamua kama kweli nguvu iliyotumika ilistahili. Kwa maoni yangu, hali ilikuwa tofauti."
Video: Jamhuri TV
Umemsikia Warioba, muda wote kasema waandamanaji, yalikua maandamano. Na kwa heshima ya lost souls. Sasa nynyi wenye roho ngumu, msio na remorse mna narrative yenu. Time is comingHuo ndiyo ukweli, hakuna namna wale waharibifu na wezi wangedhibitiwa bila risasi za moto. Haijalishi Jaji Warioba kasema nini