PostGE2025 Jaji Warioba: Vyombo vya Usalama vilijiandaa kwa bunduki na risasi? Kwasababu ndiyo wametumia zaidi!

PostGE2025 Jaji Warioba: Vyombo vya Usalama vilijiandaa kwa bunduki na risasi? Kwasababu ndiyo wametumia zaidi!

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Basis ya argument yako ni nini? Hakuna mbinu nyingine yoyote iliyotumiwa na police kwanza ikashindwa!
Walianza kuua Polisi na wakamchoma mota Mkuu wa kutuo cha External pale EPZ.

Walivaa kininja, wana mabomu ya petroli (molotov) kwenye vibegi, wakifoka mahali sekunde moja wanalipua kituo.

Unaanzaje kutumia PGO au busara ku deal na mahayawani kama hao??
 
Walianza kuua Polisi na wakamchoma mota Mkuu wa kutuo cha External pale EPZ.

Walivaa kininja, wana mabomu ya petroli (molotov) kwenye vibegi, wakifoka mahali sekunde moja wanalipua kituo.

Unaanzaje kutumia PGO au busara ku deal na mahayawani kama hao??
Uzushi unakusaidia nini
 
Walianza kuua Polisi na wakamchoma mota Mkuu wa kutuo cha External pale EPZ.

Walivaa kininja, wana mabomu ya petroli (molotov) kwenye vibegi, wakifoka mahali sekunde moja wanalipua kituo.

Unaanzaje kutumia PGO au busara ku deal na mahayawani kama hao??
Approach waliyotumia TANPOL ni ya kijambazi, sio ya trained police officers.

Nitaweka hapa chini best practices for police response to protests. As you’ll notice, wale mazafakas hawakufuata any of those practices. They randomly sprayed bullets on people. Waliua watu walioandamana na ambao hawakuandamana; waliua watu waliokuwa mitaani na ambao walikuwa nyumbani, etc. Hao unawezaje kuwaita professional police officers? Yaani hata Jeshi la Sungusungu linafanya kazi kwa weledi zaidi.

Best Practices for Police Response
  • Prioritize De-escalation & Negotiation: Engage with protest organizers, use "soft" initial appearances (normal uniforms), and pull back aggressive officers to calm situations.
  • Differentiated Approach: Don't use riot gear at peaceful protests; gear up only when violence or destruction begins.
  • Clear Communication: Give loud, repeated warnings and clear escape routes before making arrests or using force, and declare assemblies unlawful as a last resort.
  • Graduated Use of Force: Only use less-lethal options (like pepper spray, tear gas) when there's an immediate threat, avoiding vulnerable areas like the head/face, and using tactics like kettling only as needed, not as a default.
  • Tactical Planning: Establish command posts, use vehicle barriers to redirect crowds, and have staging areas ready for rapid deployment if needed.
  • Focus on Instigators: Identify and address individuals committing crimes, not the entire peaceful crowd, and ensure accountability for problematic officers.
 
Utawala dhalimu umeshindwa kuwa na utawala bora katika mihimili yote ya dola yaani serikali kuu (executive), Bunge, Mahakama, Vyombo huru vya habari.

Nchi inatawaliwa kiimla na genge la watu wa dikteta uchwara

MORE INFO :
WAZIRI MKUU MSTAAFU NA MAKAMU WA KWANZA WA RAIS JAJI WARIOBA
23 December 2025
Exclusive interview
JAJI WARIOBA akizungumza na mwandishi wa habari JACTON MANYERERE wa Jamhuri Digital

View: https://m.youtube.com/watch?v=4Gki2HMyJsM
 
Ukipata hesabu ya waliokufa utawafufua? Hiyo ndiyo imetoka, kama ndugu yako ni mmoja wao wewe kachukue nguo zake weka kwenye jeneza kazike. Msituchoshe
Then you call yourself a human being? You're animal without consicience, worse than pigs & dogs, sadist in nature
 
Then you call yourself a human being? You're animal without consicience, worse than pigs & dogs, sadist in nature
YOU are the soulless beast defending thugs who looted shops, burned buildings, and terrorized innocents during Tanzania's October 29 election chaos! You're lower than vermin, cowardly apologist for criminals who destroyed lives and property. Have you no shame, you heartless monster worse than any animal?
 
Akizungumza kuhusu suala hilo, Warioba amesema tathmini ya matumizi ya nguvu inapaswa kuangaliwa kwa uhalisia, hususan kwa kuzingatia idadi ya vifo vilivyotokea. Ameeleza kuwa maandamano yamesababisha vifo vingi, jambo linalozua maswali kuhusu aina ya maandalizi yaliyofanywa na vyombo vya ulinzi na usalama.



Soma: Jaji Warioba: Waliouawa Oktoba 29, 2025 ni wengi kuliko waliouawa kwenye Vita ya Kagera

Kwa mujibu wa Warioba, kwa takribani miaka miwili vyombo hivyo vilikuwa vimeelekezwa kujiandaa kusimamia mchakato wa uchaguzi ili uwe huru, wa haki na wa amani. Hali hiyo ilisababisha wananchi kudhani maandalizi hayo yalikuwa kwa ajili ya kudhibiti hali endapo kungetokea vurugu.

“Hivyo basi, tunajiuliza: walijiandaa vipi? Je, walijiandaa kwa bunduki na risasi? Kwa sababu hizo ndizo zimeonekana kutumika zaidi,” amesema Warioba.

Ameongeza kuwa kinachopaswa kujadiliwa ni aina ya maandalizi yaliyofanyika na kama nguvu iliyotumika ililingana na mazingira halisi ya tukio. Kwa maoni yake, matumizi ya silaha za moto dhidi ya waandamanaji wasio na silaha za kisasa yanahitaji kuwekewa wazi ili jamii iweze kufanya tathmini ya haki.

“Hapa unashughulika na vijana ambao hawana silaha za kisasa, lakini wewe una bunduki na risasi, unatumia nguvu na kuua. Basi matukio haya yawekwe wazi ili tuweze kuamua kama kweli nguvu iliyotumika ilistahili. Kwa maoni yangu, hali ilikuwa tofauti."

Video: Jamhuri TV
 

KIJANA ALIYEKUWA ANAMBEBA MWITA CHACHA, ALIYEVUNJWA MIGUU ASIMULIA MAZITO GEREZANI​



View: https://m.youtube.com/watch?v=Zrj6NHhI9OA
Tukiwa na majeraha mbalimbali ya viwango nafuu hadi vya kutisha Vituo vya polisi kama Buza, kisha kupelekwa Changombe hadi Oysterbay police station Mahakamani kisha kusomewa kesi ya uhaini na kupelekwa magereza Segerea..

Kesi ya Uhaini ilitujumbusha kesi ya Tundu Lissu mwanasheria maarufu aliyejitetea mwenyewe huku akisaidiwa na timu ya usaidizi ya mawakili mahiri huku

Nilikamatwa nikitoka dukani maeneo ya Buza, mtu wa kula mahotelini ..... nikauziwa mabiskuti narudi nyumbani ghafla nikakutana na mapolisi mitaani .. dogo unatoka wapi..nilienda kutafuta chakula..
 
NIMEACHIWA BAADA ya DADA KUNILILIA" - ASIMULIA A-Z KILICHOMFANYA AKAMATWE na KUSHTAKIWA kwa UHAINI


View: https://m.youtube.com/watch?v=gmT-VSdFDbQ

Curfew / zuio la tarehe 30 Oktoba 2025 la saa 12 asubuhi hadi saa 12 jioni niliwasafirisha wasimamizi wengi wa uchaguzi hadi saa nane mchana nifunge kazi mapema

Katika pilika hizi za safari tulikuwa tunasimamishwa na mapolisi kuulizwa na kuruhusiwa kuendelea Chamazi Kilungule Buza kwa Mparange. JWTZ walitusaidia kuendelea na safari baada ya JWTZ kutuombea kwa polisi

Buza roundabout nikasimamishwa na polisi wawili mmoja ana sare mwingine nguo za kiraia. Kufikishwa kituoni polisi nilishambuliwa na kupokonywa vitu vyangu kama simu, pesa n.k

Nikakutana na wengine wengi waliokamatwa, ... polisi wadai Wakurya wamesababisha askari wengi wa polisi kuuawa na pia Wakurya ndiyo wahamasishaji wakuu wa maandamano ..

Tukapigwa picha kibao na kutazimishwa kutia dole gumba makaratasi ambayo hatukupewa nafasi ya kusoma yaliyomo ktk makaratasi ..

Tarehe 07 November 2025 tukafikishwa mahakamani Kisutu . Tarehe 11 November 2025 mimi na wenzangu wanne tukatolewa magereza kupelekwa Amana Hospitali.

Tarehe 18 November 2025 tukarudishwa mahabusu magereza ili kutayarishwa kupelekwa mahakamani

Mahairisho ya kesi zetu yakawa yanatolewa mara kwa mara mbele ya Mahakama kwa sababu upelelezi haujakamilika....
 
Je pia vyombo vya mfumo wa haki jinai (criminal justice system) navyo vilikuwa vimejiandaa kama askari polisi kutekeleza hayo tunayoyaona ili kuwezesha utawala dhalimu kuendelea kubaki madarakani kwa kuwaburuza watuhumiwa kwa maelfu ?

1766753073644.jpeg

1766752925744.jpeg

1766753032650.jpeg
 
Back
Top Bottom