PostGE2025 Jaji Warioba: Vyombo vya Usalama vilijiandaa kwa bunduki na risasi? Kwasababu ndiyo wametumia zaidi!

PostGE2025 Jaji Warioba: Vyombo vya Usalama vilijiandaa kwa bunduki na risasi? Kwasababu ndiyo wametumia zaidi!

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Swali ni je, palikua na ulazima wa watu kufa, kuuwawa ama matumizi ya risasi za moto??
Screenshot_20251129-214516~2.png
 
Umemsikia Warioba, muda wote kasema waandamanaji, yalikua maandamano. Na kwa heshima ya lost souls. Sasa nynyi wenye roho ngumu, msio na remorse mna narrative yenu. Time is coming
Ni maoni ya Mzee Warioba tu, ila hata ukimuuliza akupe namba ya waliokufa hana. Ukimuiza kama waliokufa aliwaona atakujibu ameona CNN
 
Ufisadi kwenye bajeti ya manunuzi ya vifaa vya polisi,pesa yote ya rubber bullets imepigwa na IGP Wambura na Awadh.Kwa kifupi walikuwa hawana risasi za mpira na vifaa vya kuzuia maandamano ya zaidi ya siku moja,hawana akili zaidi ya risasi.
Mbaya zaidi hata majeruhi walipelekwa mochwari
Ni ukatili wa viwango vya juu kutokea duniani
Polisi tz ni wangese sana.
 
Ni maoni ya Mzee Warioba tu, ila hata ukimuuliza akupe namba ya waliokufa hana. Ukimuiza kama waliokufa aliwaona atakujibu ameona CNN
Nyie pimbi mnajua idadi?
huyo pm wenu kiazi anatoa boko la magari na miundo mbinu tu
mbona hatoi idadi ya mliyowauwa?

pimbi we kiazi mbatata!
 
Akizungumza kuhusu suala hilo, Warioba amesema tathmini ya matumizi ya nguvu inapaswa kuangaliwa kwa uhalisia, hususan kwa kuzingatia idadi ya vifo vilivyotokea. Ameeleza kuwa maandamano yamesababisha vifo vingi, jambo linalozua maswali kuhusu aina ya maandalizi yaliyofanywa na vyombo vya ulinzi na usalama.



Soma: Jaji Warioba: Waliouawa tarehe 29 ni wengi kuliko waliouawa kwenye Vita ya Tanzania na Kagera

Kwa mujibu wa Warioba, kwa takribani miaka miwili vyombo hivyo vilikuwa vimeelekezwa kujiandaa kusimamia mchakato wa uchaguzi ili uwe huru, wa haki na wa amani. Hali hiyo ilisababisha wananchi kudhani maandalizi hayo yalikuwa kwa ajili ya kudhibiti hali endapo kungetokea vurugu.

“Hivyo basi, tunajiuliza: walijiandaa vipi? Je, walijiandaa kwa bunduki na risasi? Kwa sababu hizo ndizo zimeonekana kutumika zaidi,” amesema Warioba.

Ameongeza kuwa kinachopaswa kujadiliwa ni aina ya maandalizi yaliyofanyika na kama nguvu iliyotumika ililingana na mazingira halisi ya tukio. Kwa maoni yake, matumizi ya silaha za moto dhidi ya waandamanaji wasio na silaha za kisasa yanahitaji kuwekewa wazi ili jamii iweze kufanya tathmini ya haki.

“Hapa unashughulika na vijana ambao hawana silaha za kisasa, lakini wewe una bunduki na risasi, unatumia nguvu na kuua. Basi matukio haya yawekwe wazi ili tuweze kuamua kama kweli nguvu iliyotumika ilistahili. Kwa maoni yangu, hali ilikuwa tofauti."

Video: Jamhuri TV
Babu aliandaa mpango wa kumpindua Samia, amechanganyikiwa kwelikweli. Yaani alivyotarajia sivyo kabisa.
 
WARIOBA VYOMBO VYA ULINZI VIMEGAWANYIKA

WARIOBA AKATAA KUWA MZEE MAJOR MSTAAFU BUTIKU, WARIOBA WAZIRI MKUU MSTAAFU ASISITIZA TUTAIHUKUMU SERIKALI KWA KUONA IDADI YA WATU WALIOKUFA


View: https://m.youtube.com/watch?v=jqdj51g_SSQ
Idadi ya watu waliokufa ni kubwa, vyombo vya ulinzi wananchi waliambiwa vimekuwa vikiandaliwa.

Ulijiandaa kwa bunduki na risasi, hilo ndilo swali la msingi. Vijana walikuwa hawana zana za kivita za kisasa ktk maandamano anasema ‎Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais mstaafu, Jaji Joseph Sinde Warioba

Hapa tulijiua sisi wenyewe wengi katika maandamano ya kupiga uchaguzi wa tarehe 29 Oktoba 2025 siyo na adui kama ile vita ya Kagera

Warioba kuna mgawanyiko ndani ya vyombo vya Ulinzi. St.Peter's tunapiga kona nikasimamishwa Haile Sellasie wanauza maua wananisalimu polisi wakaniambia tunashukuru kukuona, sasa siasa imetugawa tunaomba utufikishie ujumbe kwa wakubwa Mzee Warioba

Nilipofika nyumbani nikakwambia mama nimekumbana na tukio la kutisha kuambiwa kuwa vyombo vya ulinzi na usalama vimebadilika Mzee Warioba akimsimulia ..

View attachment 3519452

Alikwenda kwa Mama kwakutumia sample size ndogo sana ya askari 2 tu. Mzee kachanganyikiwa. Nyerere alipaswa kuwakemea wale wote wanaosema wanataka Samia aondoke, wamwage oil, nk. Hakuna Rais mzembe ambae anaweza kupuuzia kauli kama hizi.
 
Huo ndiyo ukweli, hakuna namna wale waharibifu na wezi wangedhibitiwa bila risasi za moto. Haijalishi Jaji Warioba kasema nini
Na wale wanaotajwa kwenye ripoti za CAG,nchi yetu isingekua na makando kando
 
wajinga akina Tlaatlaah wataja kwambia kwasababu wananchi walikuwa wanaharibu miundombinu na uporaji wa mali.
Kitu ambacho sio kweli walokuwa wakifanya uharibifu na wizi ni polisi pamoja na mamluki wengine
magaidi na vikundi vyote vya mamaluki na malofa wanaojifanya hawana akili, bali wana akili za kuleta fujo na kuharibu miundombinu ya umma na binafsi wataendelea kudhibitiwa na kusambaratishwa bila kuwaonea huruma, hay awala aibu.

na ukitaka kuthibitisha hilo,
nawe jifanye huna akili halafu choma kituo cha mafuta na ninakuhakikishia kua utapata zawadi yako bila kukuchelewesha hata sekunde moja ili hatimae upeleke zawadi ya majonzi ya ulofa wako kwa wazazi wako

huwezi kufanya ujinga halafu ukachekewe tu na vyombo vya ulinzi:NoGodNo:
 
Akizungumza kuhusu suala hilo, Warioba amesema tathmini ya matumizi ya nguvu inapaswa kuangaliwa kwa uhalisia, hususan kwa kuzingatia idadi ya vifo vilivyotokea. Ameeleza kuwa maandamano yamesababisha vifo vingi, jambo linalozua maswali kuhusu aina ya maandalizi yaliyofanywa na vyombo vya ulinzi na usalama.



Soma: Jaji Warioba: Waliouawa tarehe 29 ni wengi kuliko waliouawa kwenye Vita ya Tanzania na Kagera

Kwa mujibu wa Warioba, kwa takribani miaka miwili vyombo hivyo vilikuwa vimeelekezwa kujiandaa kusimamia mchakato wa uchaguzi ili uwe huru, wa haki na wa amani. Hali hiyo ilisababisha wananchi kudhani maandalizi hayo yalikuwa kwa ajili ya kudhibiti hali endapo kungetokea vurugu.

“Hivyo basi, tunajiuliza: walijiandaa vipi? Je, walijiandaa kwa bunduki na risasi? Kwa sababu hizo ndizo zimeonekana kutumika zaidi,” amesema Warioba.

Ameongeza kuwa kinachopaswa kujadiliwa ni aina ya maandalizi yaliyofanyika na kama nguvu iliyotumika ililingana na mazingira halisi ya tukio. Kwa maoni yake, matumizi ya silaha za moto dhidi ya waandamanaji wasio na silaha za kisasa yanahitaji kuwekewa wazi ili jamii iweze kufanya tathmini ya haki.

“Hapa unashughulika na vijana ambao hawana silaha za kisasa, lakini wewe una bunduki na risasi, unatumia nguvu na kuua. Basi matukio haya yawekwe wazi ili tuweze kuamua kama kweli nguvu iliyotumika ilistahili. Kwa maoni yangu, hali ilikuwa tofauti."

Video: Jamhuri TV
si hivyo tu mzee warioba, bali pia kwa wivu mkubwa,
vyombo vyetu imara sana vya ulinzi na usalama vimejiandaa na kujipanga vyema kuyasambaratisha makundi ya kigaidi, wakiuka sheria na mamaluki mabwenyenye ya magharibi wanaopanga kuvuruga amani na utulivu wa Taifa letu, lakini zaidi sana vyombo vya ulinzi vimejiandaa kwa namna zote kuwadhibiti wahalifu wa aina zote waliojipanga kupora mali za wanaanchi siku za sikuu na kuharibu miundombinu ya umma na binafsi.

Na,
ni vizuri pia kufahamu kwamba usalama wa raia dhidi ya magaidi, amani na utulivyu wa taifa letu vitalindwa kwa nguvu na gharama yoyote ile. Na hakuna huruma, haya wala aibu kwenye hili.

kama unadhani ni mzaha mzee warioba, jitokeze kujaribu kuvuruga amani:NoGodNo:
 
Katika mazungumzo aliyoyafanya jana Disemba 22, 2025 na Jamhuri digital juu ya ilichotokea oktoba 29 siku ya uchaguzi mkuu, waziri mkuu mstafu mzee Warioba ameeleza kuwa vyombo vya ulinzi na usalama vilianza kuambiwa kuwa vijiandae kuhakikisha amani na usalama vinatawala ya siku ya uchaguzi mkuu miaka miwili nyuma na vyombo hivyo imeonekana kuwa vilijiandaa sana kwa bunduki na risasi za moto baada ya kuona matokeo ya kilichotokea oktoba 29, 2025

Soma pia: Jaji Warioba: Oktoba 29 vyombo vya usalama vilijiandaa zaidi kwa bunduki na risasi?, kwasababu ndiyo wametumia zaidi

View attachment 3519404
Huo ushetani wa vyombo vya dola umemuumiza sana Mzee Warioba!
 
Huo ndiyo ukweli, hakuna namna wale waharibifu na wezi wangedhibitiwa bila risasi za moto. Haijalishi Jaji Warioba kasema nini
Basis ya argument yako ni nini? Hakuna mbinu nyingine yoyote iliyotumiwa na police kwanza ikashindwa!
 
Nyie pimbi mnajua idadi?
huyo pm wenu kiazi anatoa boko la magari na miundo mbinu tu
mbona hatoi idadi ya mliyowauwa?

pimbi we kiazi mbatata!
Ukipata hesabu ya waliokufa utawafufua? Hiyo ndiyo imetoka, kama ndugu yako ni mmoja wao wewe kachukue nguo zake weka kwenye jeneza kazike. Msituchoshe
 
Back
Top Bottom