PostGE2025 Jaji Warioba: Vyombo vya Usalama vilijiandaa kwa bunduki na risasi? Kwasababu ndiyo wametumia zaidi!

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Umemsikia Warioba, muda wote kasema waandamanaji, yalikua maandamano. Na kwa heshima ya lost souls. Sasa nynyi wenye roho ngumu, msio na remorse mna narrative yenu. Time is coming
Ni maoni ya Mzee Warioba tu, ila hata ukimuuliza akupe namba ya waliokufa hana. Ukimuiza kama waliokufa aliwaona atakujibu ameona CNN
 
Ufisadi kwenye bajeti ya manunuzi ya vifaa vya polisi,pesa yote ya rubber bullets imepigwa na IGP Wambura na Awadh.Kwa kifupi walikuwa hawana risasi za mpira na vifaa vya kuzuia maandamano ya zaidi ya siku moja,hawana akili zaidi ya risasi.
Mbaya zaidi hata majeruhi walipelekwa mochwari
Ni ukatili wa viwango vya juu kutokea duniani
Polisi tz ni wangese sana.
 
Ni maoni ya Mzee Warioba tu, ila hata ukimuuliza akupe namba ya waliokufa hana. Ukimuiza kama waliokufa aliwaona atakujibu ameona CNN
Nyie pimbi mnajua idadi?
huyo pm wenu kiazi anatoa boko la magari na miundo mbinu tu
mbona hatoi idadi ya mliyowauwa?

pimbi we kiazi mbatata!
 
Babu aliandaa mpango wa kumpindua Samia, amechanganyikiwa kwelikweli. Yaani alivyotarajia sivyo kabisa.
 
Alikwenda kwa Mama kwakutumia sample size ndogo sana ya askari 2 tu. Mzee kachanganyikiwa. Nyerere alipaswa kuwakemea wale wote wanaosema wanataka Samia aondoke, wamwage oil, nk. Hakuna Rais mzembe ambae anaweza kupuuzia kauli kama hizi.
 
Huo ndiyo ukweli, hakuna namna wale waharibifu na wezi wangedhibitiwa bila risasi za moto. Haijalishi Jaji Warioba kasema nini
Na wale wanaotajwa kwenye ripoti za CAG,nchi yetu isingekua na makando kando
 
wajinga akina Tlaatlaah wataja kwambia kwasababu wananchi walikuwa wanaharibu miundombinu na uporaji wa mali.
Kitu ambacho sio kweli walokuwa wakifanya uharibifu na wizi ni polisi pamoja na mamluki wengine
magaidi na vikundi vyote vya mamaluki na malofa wanaojifanya hawana akili, bali wana akili za kuleta fujo na kuharibu miundombinu ya umma na binafsi wataendelea kudhibitiwa na kusambaratishwa bila kuwaonea huruma, hay awala aibu.

na ukitaka kuthibitisha hilo,
nawe jifanye huna akili halafu choma kituo cha mafuta na ninakuhakikishia kua utapata zawadi yako bila kukuchelewesha hata sekunde moja ili hatimae upeleke zawadi ya majonzi ya ulofa wako kwa wazazi wako

huwezi kufanya ujinga halafu ukachekewe tu na vyombo vya ulinzi
 
si hivyo tu mzee warioba, bali pia kwa wivu mkubwa,
vyombo vyetu imara sana vya ulinzi na usalama vimejiandaa na kujipanga vyema kuyasambaratisha makundi ya kigaidi, wakiuka sheria na mamaluki mabwenyenye ya magharibi wanaopanga kuvuruga amani na utulivu wa Taifa letu, lakini zaidi sana vyombo vya ulinzi vimejiandaa kwa namna zote kuwadhibiti wahalifu wa aina zote waliojipanga kupora mali za wanaanchi siku za sikuu na kuharibu miundombinu ya umma na binafsi.

Na,
ni vizuri pia kufahamu kwamba usalama wa raia dhidi ya magaidi, amani na utulivyu wa taifa letu vitalindwa kwa nguvu na gharama yoyote ile. Na hakuna huruma, haya wala aibu kwenye hili.

kama unadhani ni mzaha mzee warioba, jitokeze kujaribu kuvuruga amani
 
Huo ushetani wa vyombo vya dola umemuumiza sana Mzee Warioba!
 
Huo ndiyo ukweli, hakuna namna wale waharibifu na wezi wangedhibitiwa bila risasi za moto. Haijalishi Jaji Warioba kasema nini
Basis ya argument yako ni nini? Hakuna mbinu nyingine yoyote iliyotumiwa na police kwanza ikashindwa!
 
Nyie pimbi mnajua idadi?
huyo pm wenu kiazi anatoa boko la magari na miundo mbinu tu
mbona hatoi idadi ya mliyowauwa?

pimbi we kiazi mbatata!
Ukipata hesabu ya waliokufa utawafufua? Hiyo ndiyo imetoka, kama ndugu yako ni mmoja wao wewe kachukue nguo zake weka kwenye jeneza kazike. Msituchoshe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…