Jakaya Kikwete 2011 akiwa Rais alitembelea Marekani kwa shughuli mbalimbali za kichama na kiserikali

blogger

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2012
Posts
12,112
Reaction score
15,060
Yes! Hapa akiburudika kidogo na Boys II Men.
Screenshot_20241020-084511_1.jpg

Maisha yalikuwa simpo Sana.👌
 
Anakuaje bored!?na mapesa yoouuterr anayo.. how? Bored!?
Bored that there's nothing new anymore. Ukiwa na pesa nyingi na power kuna muda huwi excited tena na material things

Ni kama Nyerere unadhani kwanini hakuwa na mali nyingi ? Alijua atalipiwa nauli maisha yote, atatunzwa maisha yote

Magufuli aliwahi kusema "hii Dunia hakuna nchi sijaenda...nimeenda kila sehemu sina tena haja ya kwenda nje ya nchi kwa sababu kila sehemu nimefika"
 
Utawala wake ulikuwa wa hovyo mno. Nchi ililiwa na kikundi cha wachache. Ufisadi ulikuwa ni wa kutisha.
Utawala upi ulikuwa mzuri bwa wewe? Bunge lilikuwa live tena active, CAG alikuwa ana sauti tena inayosikika kwa mara ya kwanza ndo niliweza kufahamu CAG ni nani kwenye hii nchi , mahakama zilikuwa huru ata ubunge ulikuwa unapigwa mahakamani na wabunge walivuliwa ubunge mchana kweupe. Kipindi cha JK ilikuwa kawaida kukuta watu wamekusanyika kwenye vibanda umiza kuangalia bunge. Sasa nikuulize toka kikwete atoke madarakani unamfahamu kwa jina katibu wa bunge? Mm wa mwisho kumfahamu ni Thomas kishilila. Je wasaidizi wake? Emu jitaidi kueshimu watu. Hv wewe walimu wote udom mpaka branch zote za st Agustino na vyuo vyote vya walimu wanaitimu wanapata ajira hapo hapo no applications no interview ten years consecutively bado every financial year salary incriminate unasema alikuwa anatalii hovyo?
 
Mko wapuuzi wengi mliodanganywa na demokrasia uchwara huku wachache wakiitafuna nchi kisawasawa. Kumjua katibu wa bunge ilikusaidia nini? Nchi ilinuka kashfa za kutisha awamu ya 4. Kuanzia madawa ya kulevya na uchafu mwingine mwingi. Kulikuwa hakuna uwajibikaji.
 
Je yameisha? au kikwete bado ni rais? tatizo lenu mnataka kumfanya rais kama Mungu. Kama wewe familia ya watu watano na kiwanja cha 40 kwa 60 unashindwa kuiongoza itakuwa nchi ya watu milion 70?
 
Mko wapuuzi wengi mliodanganywa na demokrasia uchwara huku wachache wakiitafuna nchi kisawasawa. Kumjua katibu wa bunge ilikusaidia nini? Nchi ilinuka kashfa za kutisha awamu ya 4. Kuanzia madawa ya kulevya na uchafu mwingine mwingi. Kulikuwa hakuna uwajibikaji.
Achana nae huyo alikuwa dalasa la sita6B hajui kitu. Hadi lowasa kamwaga wino wee unafikiri ufisadi uliofanyika ni WA Dunia hii!?
 
Anakuaje bored!?na mapesa yoouuterr anayo.. how? Bored!?
Pesa sio kila kitu, watu wanakuwa na mali nyingi(pesa zikiwemo) lakini bado wanajitoa uhai kwa msongo wa mawazo.

Maisha ni fumbo.
 
Back
Top Bottom