Jakaya Kikwete 2011 akiwa Rais alitembelea Marekani kwa shughuli mbalimbali za kichama na kiserikali

Jakaya Kikwete 2011 akiwa Rais alitembelea Marekani kwa shughuli mbalimbali za kichama na kiserikali

Nasikia pia aliwahi kumpokea airport mshindi wa big brother miaka ile
 
Utawala upi ulikuwa mzuri bwa wewe? Bunge lilikuwa live tena active, CAG alikuwa ana sauti tena inayosikika kwa mara ya kwanza ndo niliweza kufahamu CAG ni nani kwenye hii nchi , mahakama zilikuwa huru ata ubunge ulikuwa unapigwa mahakamani na wabunge walivuliwa ubunge mchana kweupe. Kipindi cha JK ilikuwa kawaida kukuta watu wamekusanyika kwenye vibanda umiza kuangalia bunge. Sasa nikuulize toka kikwete atoke madarakani unamfahamu kwa jina katibu wa bunge? Mm wa mwisho kumfahamu ni Thomas kishilila. Je wasaidizi wake? Emu jitaidi kueshimu watu. Hv wewe walimu wote udom mpaka branch zote za st Agustino na vyuo vyote vya walimu wanaitimu wanapata ajira hapo hapo no applications no interview ten years consecutively bado every financial year salary incriminate unasema alikuwa anatalii hovyo?
Uelewa wako wa mambo na kuchanganua bado uko chini sana,kama wew ni mtu mzma basi huna akil nzuri za kuchanganua mambo ya nchi.
 
Kama ni kweli..Waliwaonea.

Na wadai haki zao sasa ...

Mzee wetu alikuwa ni wa bata.
Hata wao wanajua hawakufanya kazi yao Vizuri.

Walitakiwa wafanye kila namna wamzuie, Au waliport kwa boss wao awape muongozo.
 
Back
Top Bottom