Utawala upi ulikuwa mzuri bwa wewe? Bunge lilikuwa live tena active, CAG alikuwa ana sauti tena inayosikika kwa mara ya kwanza ndo niliweza kufahamu CAG ni nani kwenye hii nchi , mahakama zilikuwa huru ata ubunge ulikuwa unapigwa mahakamani na wabunge walivuliwa ubunge mchana kweupe. Kipindi cha JK ilikuwa kawaida kukuta watu wamekusanyika kwenye vibanda umiza kuangalia bunge. Sasa nikuulize toka kikwete atoke madarakani unamfahamu kwa jina katibu wa bunge? Mm wa mwisho kumfahamu ni Thomas kishilila. Je wasaidizi wake? Emu jitaidi kueshimu watu. Hv wewe walimu wote udom mpaka branch zote za st Agustino na vyuo vyote vya walimu wanaitimu wanapata ajira hapo hapo no applications no interview ten years consecutively bado every financial year salary incriminate unasema alikuwa anatalii hovyo?