Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
Mzee huyu Kwa kutanguliza mbele tumbo lake ameliharibu taifa. Kikwete amekuwa election observer katika nchi mbalimbali za Afrika, aliona chaguzi zenye staha kama uchaguzi wa Kenya, na Ghana.
Kikwete alinukuliwa live anasema uchaguzi wa Kenya ni huru na Haki Kwa Hali ya juu.
Uku kwetu bila aibu alinukuliwa akisema "HIVI SHERIA ZETU ZA UCHAGUZI NI MBAYA SANA" ?
Jitu kama hili halina moral authority ya kuwa Election observer, awache watu wasio na makandokando ndo wawe waangalizi.
Abaki nchini kwakwe akiendelea kuratibu chaguzi za hovyo.