Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
Huyu ni mpuuzi sana
Jitu la hovyooHuyu ni mpuuzi sana
Ni kweli kabisa kuwa Kikwete is one of the many reasons our country is in shambles. Hata Samia alienda kumkumbatia baada ya kuapishwa, hii inamaanisha ndiye aliyekuja na ujinga wa kuhesabu kura harakaharaka . Inabidi tuwaandikie hawa jamaa wamtoe kwenye SADC na hata EAC. Pia kuna NGO kubwa ya masualahya elimu nayo inabidi tuwaandikie.Mzee huyu Kwa kutanguliza mbele tumbo lake ameliharibu taifa. Kikwete amekuwa election observer katika nchi mbalimbali za Afrika, aliona chaguzi zenye staha kama uchaguzi wa Kenya, na Ghana.
Kikwete alinukuliwa live anasema uchaguzi wa Kenya ni huru na Haki Kwa Hali ya juu.
Uku kwetu bila aibu alinukuliwa akisema "HIVI SHERIA ZETU ZA UCHAGUZI NI MBAYA SANA" ?
Jitu kama hili halina moral authority ya kuwa Election observer, awache watu wasio na makandokando ndo wawe waangalizi.
Abaki nchini kwakwe akiendelea kuratibu chaguzi za hovyo.
JK naye ICC inamhusu!Mzee huyu Kwa kutanguliza mbele tumbo lake ameliharibu taifa. Kikwete amekuwa election observer katika nchi mbalimbali za Afrika, aliona chaguzi zenye staha kama uchaguzi wa Kenya, na Ghana.
Kikwete alinukuliwa live anasema uchaguzi wa Kenya ni huru na Haki Kwa Hali ya juu.
Uku kwetu bila aibu alinukuliwa akisema "HIVI SHERIA ZETU ZA UCHAGUZI NI MBAYA SANA" ?
Jitu kama hili halina moral authority ya kuwa Election observer, awache watu wasio na makandokando ndo wawe waangalizi.
Abaki nchini kwakwe akiendelea kuratibu chaguzi za hovyo.
Zee ovyo lisilo na busaraMzee huyu Kwa kutanguliza mbele tumbo lake ameliharibu taifa. Kikwete amekuwa election observer katika nchi mbalimbali za Afrika, aliona chaguzi zenye staha kama uchaguzi wa Kenya, na Ghana.
Kikwete alinukuliwa live anasema uchaguzi wa Kenya ni huru na Haki Kwa Hali ya juu.
Uku kwetu bila aibu alinukuliwa akisema "HIVI SHERIA ZETU ZA UCHAGUZI NI MBAYA SANA" ?
Jitu kama hili halina moral authority ya kuwa Election observer, awache watu wasio na makandokando ndo wawe waangalizi.
Abaki nchini kwakwe akiendelea kuratibu chaguzi za hovyo.
Hii familia ya Kikwete imechafuliwa na baba Yao kwa tamaa zake.Ukiona kiongozi mstaafu anang'ang'ana kwenye mamlaka za uongozi ujue kuna uchafu anauficha.
Hadi mkewe Salma Kikwete aliyekuwa firstlady naye bila aibu kagombea ubunge..!
Huwa siwachukulii seriuos waangalizi wa Afrika, hasa waliokuwa serekalini.Mzee huyu Kwa kutanguliza mbele tumbo lake ameliharibu taifa. Kikwete amekuwa election observer katika nchi mbalimbali za Afrika, aliona chaguzi zenye staha kama uchaguzi wa Kenya, na Ghana.
Kikwete alinukuliwa live anasema uchaguzi wa Kenya ni huru na Haki Kwa Hali ya juu.
Uku kwetu bila aibu alinukuliwa akisema "HIVI SHERIA ZETU ZA UCHAGUZI NI MBAYA SANA" ?
Jitu kama hili halina moral authority ya kuwa Election observer, awache watu wasio na makandokando ndo wawe waangalizi.
Abaki nchini kwakwe akiendelea kuratibu chaguzi za hovyo.
Mbowe tena..Huyu ametufikisha hapa na mbowe hawatakaa waijue Amani mioyoni mwao ndeze hawa