Jakaya Kikwete ashiriki mahafali ya 51 ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Leo Mei 27, 2021. Humphey Polepole naye afanikiwa kuhitimu

Jakaya Kikwete ashiriki mahafali ya 51 ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Leo Mei 27, 2021. Humphey Polepole naye afanikiwa kuhitimu

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) na Rais Mstaafu awamu ya nne, Mheshimiwa Dkt Jakaya Kikwete ameshiriki kuwatunuku Degree kwenye duru ya kwanza ya mahafali ya 51 ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam leo Mei 27, 2021.

1622189960246.png

1.jpg
33.jpg

1622190000767.png

PIA SOMA:
- Ridhwani: Jakaya Kikwete yupo salama wa afya nyingi, hana tatizo la kiafya
 
JK ndiye hazina pekee iliyo baki ktk Taifa la Tanzania na hata Afrika Mashariki na kati.

ni tegemeo kwa ukanda wote wa maziwa makuu n.k.
kwa kifupi ndio nguzo ya katikati iliyo shika paa la nyumba.

Tunaomba uongozi wa Mama Samia umlinde na umtunze kwa umakini mkubwa.lkn zaidi tuna muombea Mungu amlinde.
 
Tangu Mwendakuzimu asepe jamaa hatulii utadhani anataga.

God bless president Lowassa the rais wa mioyo yetu!
 
Rais Mstaafu Comrade Jakaya Kikwete na Mkuu wa Chuo Kikuu cha UDSM leo Alhamisi tarehe 27 Mei 2021 akiwa chuoni UDSM kwa ajili ya kutunuku digrii kwenye duru ya kwanza ya Mahafali ya 51 ya UDSM.

Mnaomuombea Kikwete afe, ataishi miaka mingi kama Mwinyi kwa sababu hana roho mbaya

E2YlRbxWUAE22Ln.jpg
 
Back
Top Bottom