Jakaya Kikwete ashiriki mahafali ya 51 ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Leo Mei 27, 2021. Humphey Polepole naye afanikiwa kuhitimu

Jakaya Kikwete ashiriki mahafali ya 51 ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Leo Mei 27, 2021. Humphey Polepole naye afanikiwa kuhitimu

Aseee afadhali




Ila hata jpm alihudhuria ufunguzi wa magic fm studio...akaomba na wimbo wa Jay ft stamina uchezwe ......
 
Baada ya kuhisi kama ameanza kusahaulika jamaa yule akaamua kutembea na huruma ya mshika kibendera.
 
Rais Mstaafu Comrade Jakaya Kikwete na Mkuu wa Chuo Kikuu cha UDSM leo Alhamisi tarehe 27 Mei 2021 akiwa chuoni UDSM kwa ajili ya kutunuku digrii kwenye duru ya kwanza ya Mahafali ya 51 ya UDSM.

Mnaomuombea Kikwete afe hafi ng'o, ataishi miaka mingi kama Mwinyi kwa sababu hana roho mbaya

View attachment 1799261
Aaah wacha nicheke mie kawaiteni mataga wote waje waone,i love u kikwetee
 
Propaganda za wajinga wajinga hazina nafasi
 
Back
Top Bottom