Jakaya Kikwete ashiriki mahafali ya 51 ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Leo Mei 27, 2021. Humphey Polepole naye afanikiwa kuhitimu

Aseee afadhali




Ila hata jpm alihudhuria ufunguzi wa magic fm studio...akaomba na wimbo wa Jay ft stamina uchezwe ......
 
Baada ya kuhisi kama ameanza kusahaulika jamaa yule akaamua kutembea na huruma ya mshika kibendera.
 
Aaah wacha nicheke mie kawaiteni mataga wote waje waone,i love u kikwetee
 
Propaganda za wajinga wajinga hazina nafasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…