Jakaya Kikwete ashiriki mahafali ya 51 ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Leo Mei 27, 2021. Humphey Polepole naye afanikiwa kuhitimu

veronica france aka musiba anatesa sana nchii hii hatari anaogopeka balaa
anaonekana Chizi tu, hana la maana hata moja la kuogopwa maana anaandika pumba tu...

Huwezi kumfananisha hata robo na yule jamaa wa tweeter Kigogo, kigogo mara nyingi huwa na taarifa za uhakika na mara nyingine akiandika anaonekana ni mtu mwenye uelewa mpana wa mambo..
 
Ijapokuwa kila binadamu ataonja mauti, Lakini kama Taifa tunayosababu ya kuendelea kumsihi Mungu wetu Kwa wakati huu, hatuhitaji tena kupoteza Viongozi wetu wakuu

Tumuombe Mungu atusikie ktk hili, Kwa sababu kule tuendako, Viongozi hawa ni wa mhimu mno
 
Nimekutana naye ametokea maeneo ya Mlimani City anaelekea UDSM, nadhani atapitia kwa Prof. Ang'angisye pale maana nimeona ulinzi wa kutosha pale.
 
Sema hata Jiwe hakuzushiwa kifo mara moja tu.
 
Hongera zake maana tayari wameshamzushia
Hata enzi za kuumwa kwa yule, yangefanyika haya taharuki isingetokea... Kazushiwa, katokea.... Na YULE waliposema amezushiwa kuumwa, ANGETOKEA TU
 
Hongera zake maana tayari wameshamzushia
Veronica france, Mataga,and sukuma gang baada ya kulazimishwa kunawa mikono baada ya mpishi kupangiwa majukumu mengine na Mola wake.
 
Umezodisha chumvi, JK ni mtu mzuri, kulinganisha na yule aliye tuletea baada yake, lakini ni mwanadamu tu, nguzo ya kati ni Mungu!
 
Kila la kheir kwa Rais mstaafu, namkumbuka kwa fursa ya kusoma na ajira.

Huyu ndio adui yetu nambari ONE kwa kutuingiza katika masahibu ya JIWE kwa kupora mchakato wa katiba yetu mpya baada ya kutumia mabilioni ya fedha? Huko UDSM muulizeni kwanini alisaliti ule mchakato?
 
Live longer JK, mahafali teena miye nimezoea mahali november huko. Nazeeka sasa hata sijui graduu zinaendaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…