Jakaya Kikwete atakuwa hajapendezwa na ujenzi wa daraja la mto Pangani. Akiwa Rais alikataa lisijengwe kuhofia Chalinze kupooza

Chalinze inategemea viwanda sio mabasi na malori kupita.
 
Wewe ni.kuku kweli. Yaani magari.ya mikoa.miwili na kenya yafifishe chalinze
 
Umeongea kimwajuma sana sijui wewe ni Mzaramo? Chalinze inafifiaje wakati iko barabarani kabisa magari yote ya mikoa ya kati na nyanda za juu kusini lazima yapite Chalinze! Pale pako busy muda wote!
 
Umeongea kimwajuma sana sijui wewe ni Mzaramo? Chalinze inafifiaje wakati iko barabarani kabisa magari yote ya mikoa ya kati na nyanda za juu kusini lazima yapite Chalinze! Pale pako busy muda wote!
Think about KIjiji chake cha
Msoga,And no Chalinze as a whole
 
Chalinze iko Pwani, Pangani ipo Tanga. Sijaelewa unamaanisha vipi ujenzi wa Pangani uidumaze Chalinze wakati ndiyo kwanza utaongeza wigo wa biashara. Emb fafanua vizuri
 
Hahahahha my country
 
We Jamaa kwa hiyo una maana maendeleo ya wananchi ni hasira kwa kiongozi mwingine?
Viongozi nao ni binaadamu !
Wengine huwa wapo kwa ajili ya walio karibu yake kama vile ndugu na maswahiba wake wa karibu !
Na wapo Binaadamu wengine awe Kiongozi au sio Kiongozi huwa huwa anajali sana maisha ya watu wote bila kubagua !!
Japo hao watu ni wachache humu mudunia !
Lakini wapo na huwa wanachukiwa sana na MAFISADI πŸ˜³πŸ™„πŸ™ŒπŸ‘ !
 
Mleta uzi, unataka kusema kuwa magari yanayokwenda kaskazini ndiyo tegemeo la Chalinze? Je unafahamu uwa bado watakaopita Wami? Je vipi kuhusu wanaokwenda Mikoa kama Dodoma, Mwanza, Kagera, Mbeya, Iringa, Simiyu, Singida, Tabora, Kigoma,na Nchi kama Rwanda, Kongo, Malawi, Zambia.
Sidhani kama hicho ulichoandika kina ukweli wowote ule.
 
Asante mjumbe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…