Jakaya Kikwete atakuwa hajapendezwa na ujenzi wa daraja la mto Pangani. Akiwa Rais alikataa lisijengwe kuhofia Chalinze kupooza

Mwaka 1994 nilitumia wiki nzima kutoka Dar mpaka Chidya secondary, mwaka uliofuata nikahama shule, mto rufiji ilikuwa balaa, Mkapa aluvyoingia madarakani akajenga daraja.

JPM kwa kinywa chake anadai chupuchupu afe kwenye ajali ya boti kivuko cha busisi, kilichomsaidia machale yalimcheza akaendesha pikipiki akavukia Kamanga, baadae akasikia ike boti aliyotaka kupanda ilizama, ni miaka ya 1980s huko. Alipoingia madarakani akajenga daraja la busisi, kilometa za kutosha.

Pia soma: Pre GE2025 - Rais aweka jiwe la msingi ujenzi wa daraja la Mto Pangani la Bilioni 107, Urefu wa Mita 525

Jakaya Kikwete alipapenda sana Tanga, bila yeye Makamba family wangekuwa wapi sijui, kuna watu wengi toka Tanga aliwabeba kipindi chake.

Kikwete ana nyumba bagamoyo mjini karibu na Magomeni ila permanent address yake ni Msoga Chalinze.

Daraja la mto Pangani linaenda kuififisha Chalinze, magari toka Kenya, Arusha, Moshi yataanua kupitia hiyo njia.

Kikwete aliliona hili mapema na hakuwa tayari kuona jimbo lake linadumaa kisa daraja la mto Pangani, alivyoletewa hili wazo alilikataa macho makavu.

Hongera mama Samia kwa kumkosesha raha JK kwa maslahi ya wengi.
Chalinze inategemea viwanda sio mabasi na malori kupita.
 
Wewe ni.kuku kweli. Yaani magari.ya mikoa.miwili na kenya yafifishe chalinze
 
Umeongea kimwajuma sana sijui wewe ni Mzaramo? Chalinze inafifiaje wakati iko barabarani kabisa magari yote ya mikoa ya kati na nyanda za juu kusini lazima yapite Chalinze! Pale pako busy muda wote!
 
Think about KIjiji chake cha
Msoga,And no Chalinze as a whole
 
Mwaka 1994 nilitumia wiki nzima kutoka Dar mpaka Chidya secondary, mwaka uliofuata nikahama shule, mto rufiji ilikuwa balaa, Mkapa aluvyoingia madarakani akajenga daraja.

JPM kwa kinywa chake anadai chupuchupu afe kwenye ajali ya boti kivuko cha busisi, kilichomsaidia machale yalimcheza akaendesha pikipiki akavukia Kamanga, baadae akasikia ike boti aliyotaka kupanda ilizama, ni miaka ya 1980s huko. Alipoingia madarakani akajenga daraja la busisi, kilometa za kutosha.

Pia soma: Pre GE2025 - Rais aweka jiwe la msingi ujenzi wa daraja la Mto Pangani la Bilioni 107, Urefu wa Mita 525

Jakaya Kikwete alipapenda sana Tanga, bila yeye Makamba family wangekuwa wapi sijui, kuna watu wengi toka Tanga aliwabeba kipindi chake.

Kikwete ana nyumba bagamoyo mjini karibu na Magomeni ila permanent address yake ni Msoga Chalinze.

Daraja la mto Pangani linaenda kuififisha Chalinze, magari toka Kenya, Arusha, Moshi yataanua kupitia hiyo njia.

Kikwete aliliona hili mapema na hakuwa tayari kuona jimbo lake linadumaa kisa daraja la mto Pangani, alivyoletewa hili wazo alilikataa macho makavu.

Hongera mama Samia kwa kumkosesha raha JK kwa maslahi ya wengi.
Chalinze iko Pwani, Pangani ipo Tanga. Sijaelewa unamaanisha vipi ujenzi wa Pangani uidumaze Chalinze wakati ndiyo kwanza utaongeza wigo wa biashara. Emb fafanua vizuri
 
Siwezi kukukatalia.

Hii inawezekana kabisa.

Viongozi wetu wengi ni wabinasfi.

Hata magu alikataa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo kwa kibwagizo cha kichaa tu ndiye atakayekubali masharti ya mkataba wake.

Baada ya hapo akafunga kabisa faili na akutaka tena kuskia habari za bandari ya Bagamoyo mpaka suala lake lilipokuja kuibuliwa tena na Samia.

Lakini magu huyo huyo alipoambiwa kwamba Chato haina hadhi ya kujengwa benki(CRDB)na wataalamu aligoma kabisa akamwambia mkurugenzi wewe na timu yako hamjui kufanya utafiti.

Akatuma watu wake kutoka ikulu na Majibu yakarudi chato panastahili kujengwa tawi la benki na kweli likajengwa.
Hahahahha my country
 
We Jamaa kwa hiyo una maana maendeleo ya wananchi ni hasira kwa kiongozi mwingine?
Viongozi nao ni binaadamu !
Wengine huwa wapo kwa ajili ya walio karibu yake kama vile ndugu na maswahiba wake wa karibu !
Na wapo Binaadamu wengine awe Kiongozi au sio Kiongozi huwa huwa anajali sana maisha ya watu wote bila kubagua !!
Japo hao watu ni wachache humu mudunia !
Lakini wapo na huwa wanachukiwa sana na MAFISADI 😳🙄🙌👍 !
 
Mwaka 1994 nilitumia wiki nzima kutoka Dar mpaka Chidya secondary, mwaka uliofuata nikahama shule, mto rufiji ilikuwa balaa, Mkapa aluvyoingia madarakani akajenga daraja.

JPM kwa kinywa chake anadai chupuchupu afe kwenye ajali ya boti kivuko cha busisi, kilichomsaidia machale yalimcheza akaendesha pikipiki akavukia Kamanga, baadae akasikia ike boti aliyotaka kupanda ilizama, ni miaka ya 1980s huko. Alipoingia madarakani akajenga daraja la busisi, kilometa za kutosha.

Pia soma: Pre GE2025 - Rais aweka jiwe la msingi ujenzi wa daraja la Mto Pangani la Bilioni 107, Urefu wa Mita 525

Jakaya Kikwete alipapenda sana Tanga, bila yeye Makamba family wangekuwa wapi sijui, kuna watu wengi toka Tanga aliwabeba kipindi chake.

Kikwete ana nyumba bagamoyo mjini karibu na Magomeni ila permanent address yake ni Msoga Chalinze.

Daraja la mto Pangani linaenda kuififisha Chalinze, magari toka Kenya, Arusha, Moshi yataanua kupitia hiyo njia.

Kikwete aliliona hili mapema na hakuwa tayari kuona jimbo lake linadumaa kisa daraja la mto Pangani, alivyoletewa hili wazo alilikataa macho makavu.

Hongera mama Samia kwa kumkosesha raha JK kwa maslahi ya wengi.
Mleta uzi, unataka kusema kuwa magari yanayokwenda kaskazini ndiyo tegemeo la Chalinze? Je unafahamu uwa bado watakaopita Wami? Je vipi kuhusu wanaokwenda Mikoa kama Dodoma, Mwanza, Kagera, Mbeya, Iringa, Simiyu, Singida, Tabora, Kigoma,na Nchi kama Rwanda, Kongo, Malawi, Zambia.
Sidhani kama hicho ulichoandika kina ukweli wowote ule.
 
Asante mjumbe!
 
Back
Top Bottom