Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Jakaya Kikwete amesema anawashangaa wanaoshangazwa na suala la Ridhwan kikwete kupita bila kupingwa kwani jambo hilo ni la kawaida kwa kuwa mkoa wa Pwani na wilaya ya Bagamoyo ni ya CCM hivyo jambo hilo halishangazi
Pwani na bagamoyo kama wilaya sio mafukaraNa ndio mikoa inaongoza kwa ufukara ukiacha Dar...
Jakaya Kikwete amesema anawashangaa wanaoshangazwa na suala la Ridhwan kikwete kupita bila kupingwa kwani jambo hilo ni la kawaida kwa kuwa mkoa wa Pwani na wilaya ya Bagamoyo ni ya CCM hivyo jambo hilo halishangazi
View attachment 3425910
Kiufupi tunaendelea kushangaanaKila mtu anamshangaa mwenzake...tumeduwaa. Tunashangaana. Tanzania yetu hii ni kubwa kweli. Kumbe kuna Pwani, tunapita bila kupingwa 😀 😀 😀 😀
Hatuji mkuu 😂 mnatuchambaKaribu Pwani...
Huyu koumbe ni wakuombea kwa Mungu atangulie mapema iwezekanavyoWakuu naona utaendelea kushaangaana sasa, wa kuondoa mshangao naye anawashangaa wanoshangaa
===
Jakaya Kikwete amesema anawashangaa wanaoshangazwa na suala la Ridhwan kikwete kupita bila kupingwa/kutokuwa na mpinzani kwani jambo hilo ni la kawaida kwa kuwa mkoa wa Pwani na wilaya ya Bagamoyo ni ya CCM hivyo jambo hilo halishangazi.
"Mkoa wa Pwani huu, wilaya hii ya Bagamoyo ni wilaya ya CCM
Niliona watu walipoona Ridhwani kapita bila kupingwa wakasema aah hakuna demokrasia. Hata uchaguzi uliopita hakuwa na mpinzani ndani ya CCM.
Na kabla ya hapo uchaguzi mwingine ule pia hakuwa naye mwingine , kwahiyo unashangaa safari hii" - Jakaya Kikwete
View attachment 3425910
Video haina sautiWakuu naona utaendelea kushaangaana sasa, wa kuondoa mshangao naye anawashangaa wanoshangaa
===
Jakaya Kikwete amesema anawashangaa wanaoshangazwa na suala la Ridhwan kikwete kupita bila kupingwa/kutokuwa na mpinzani kwani jambo hilo ni la kawaida kwa kuwa mkoa wa Pwani na wilaya ya Bagamoyo ni ya CCM hivyo jambo hilo halishangazi.
"Mkoa wa Pwani huu, wilaya hii ya Bagamoyo ni wilaya ya CCM
Niliona watu walipoona Ridhwani kapita bila kupingwa wakasema aah hakuna demokrasia. Hata uchaguzi uliopita hakuwa na mpinzani ndani ya CCM.
Na kabla ya hapo uchaguzi mwingine ule pia hakuwa naye mwingine , kwahiyo unashangaa safari hii" - Jakaya Kikwete
View attachment 3425910
Hili taifa Mungu tu aingilie kati aamulie hayaWakuu naona utaendelea kushaangaana sasa, wa kuondoa mshangao naye anawashangaa wanoshangaa