GE2025 Jakaya Kikwete awashukia wanaoshangaa Ridhiwani kutokuwa na mpinzani

GE2025 Jakaya Kikwete awashukia wanaoshangaa Ridhiwani kutokuwa na mpinzani

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wakuu naona utaendelea kushaangaana sasa, wa kuondoa mshangao naye anawashangaa wanoshangaa

===


Jakaya Kikwete amesema anawashangaa wanaoshangazwa na suala la Ridhwan kikwete kupita bila kupingwa/kutokuwa na mpinzani kwani jambo hilo ni la kawaida na amewahi kupita mara kdahaa bila moinzani kabla ya sasa.

"Mkoa wa Pwani huu, wilaya hii ya Bagamoyo ni wilaya ya CCM

Niliona watu walipoona Ridhwani kapita bila kupingwa wakasema aah hakuna demokrasia. Hata uchaguzi uliopita hakuwa na mpinzani ndani ya CCM.

Na kabla ya hapo uchaguzi mwingine ule pia hakuwa naye mwingine , kwahiyo unashangaa safari hii"
- Jakaya Kikwete
Bull shit!!!
 
Mie sina tatizo kabisa na Ridhiwan Kikwete , maana ni kijana na ana uwezo wa kuongoza. Tatizo langu ni huyo mama Salma Kikwete ana tamaa sana sana, alishakua First lady na mafao yake anapata na ameshakua mbunge tayari. Hii tamaa alionayo huyo mama ndio inawafanya watu wanaichukia familia ya Msoga. Haoni wake wa marais wastaafu wengine wametulia wanakula mafao yao, Ni nini anachokitafuta kwenye ubunge kama sio tamaa ya mzee fisi. Huyo mama ndio anaiponza hio familia inatukanwa mitandaoni na anachokitafuta atakipata .Watanzania sio wajinga hivyo, angetulia tu alee wajukuu kuliko kuhangaika na ubunge.
 
Mheshimiwa yuko sahihi kama hakuna aliyegombea shida iko wapi,na hatukusikia kama kuna mtu kanyimwa fomu Chalinze .
 
Wakuu naona utaendelea kushaangaana sasa, wa kuondoa mshangao naye anawashangaa wanoshangaa

===


Jakaya Kikwete amesema anawashangaa wanaoshangazwa na suala la Ridhwan kikwete kupita bila kupingwa/kutokuwa na mpinzani kwani jambo hilo ni la kawaida na amewahi kupita mara kdahaa bila moinzani kabla ya sasa.

"Mkoa wa Pwani huu, wilaya hii ya Bagamoyo ni wilaya ya CCM

Niliona watu walipoona Ridhwani kapita bila kupingwa wakasema aah hakuna demokrasia. Hata uchaguzi uliopita hakuwa na mpinzani ndani ya CCM.

Na kabla ya hapo uchaguzi mwingine ule pia hakuwa naye mwingine , kwahiyo unashangaa safari hii"
- Jakaya Kikwete
3, 7, ama 28 lakini kutokana na "mathematical error" uwezekano mkubwa ni 3, 6, ama 9, ama jumla ya hesabu ya hesabu hii.
 
Kuna nini cha maana Bagamoyo?
Vingi tu vya maana Bagamoyo.

Kuna bahari kwa shughuli za uvuvi na usafirishaji.

Kuna historical sites likes of kaole ruins caravan serai na makumbusho ya kanisa katoliki.

Kuna shule za kutosha ambazo zinatoa elimu ya kueleweka kwa viwango vyetu Marian boys and girls,Ahmes bila kusahau chuo kishirikishi cha Marian university college.

Hivyo ni vitu vichache kati ya vingi vya maana vilivyopo bagamoyo.
 
Back
Top Bottom