Kumbe tuendelee kushangaa, naona kumbe kushangaa kwetu huwa kunawafikiaWakuu naona utaendelea kushaangaana sasa, wa kuondoa mshangao naye anawashangaa wanoshangaa
===
Jakaya Kikwete amesema anawashangaa wanaoshangazwa na suala la Ridhwan kikwete kupita bila kupingwa/kutokuwa na mpinzani kwani jambo hilo ni la kawaida na amewahi kupita mara kdahaa bila moinzani kabla ya sasa.
"Mkoa wa Pwani huu, wilaya hii ya Bagamoyo ni wilaya ya CCM
Niliona watu walipoona Ridhwani kapita bila kupingwa wakasema aah hakuna demokrasia. Hata uchaguzi uliopita hakuwa na mpinzani ndani ya CCM.
Na kabla ya hapo uchaguzi mwingine ule pia hakuwa naye mwingine , kwahiyo unashangaa safari hii" - Jakaya Kikwete
Huu ni unakifi na wewe una uma huku unapuliza.Mie sina tatizo kabisa na Ridhiwan Kikwete , maana ni kijana na ana uwezo wa kuongoza. Tatizo langu ni huyo mama Salma Kikwete ana tamaa sana sana, alishakua First lady na mafao yake anapata na ameshakua mbunge tayari. Hii tamaa alionayo huyo mama ndio inawafanya watu wanaichukia familia ya Msoga. Haoni wake wa marais wastaafu wengine wametulia wanakula mafao yao, Ni nini anachokitafuta kwenye ubunge kama sio tamaa ya mzee fisi. Huyo mama ndio anaiponza hio familia inatukanwa mitandaoni na anachokitafuta atakipata .Watanzania sio wajinga hivyo, angetulia tu alee wajukuu kuliko kuhangaika na ubunge.
Huyu mother sijui ni njaa au tamaa kawa kama ndo chipukizi wa chama ndo anachipukia daaMie sina tatizo kabisa na Ridhiwan Kikwete , maana ni kijana na ana uwezo wa kuongoza. Tatizo langu ni huyo mama Salma Kikwete ana tamaa sana sana, alishakua First lady na mafao yake anapata na ameshakua mbunge tayari. Hii tamaa alionayo huyo mama ndio inawafanya watu wanaichukia familia ya Msoga. Haoni wake wa marais wastaafu wengine wametulia wanakula mafao yao, Ni nini anachokitafuta kwenye ubunge kama sio tamaa ya mzee fisi. Huyo mama ndio anaiponza hio familia inatukanwa mitandaoni na anachokitafuta atakipata .Watanzania sio wajinga hivyo, angetulia tu alee wajukuu kuliko kuhangaika na ubunge.
Alikuwa anauhutubia, na pia alikuwa anatoa maelezo sababu kelele za mitandao zilikuwa nyingi. Na hata aliyoongea mengine hakuulizwa maswali.Kwani aliulizwa swali? 😂😂
Wewe ndo ulieanze ku reply comment yangu tena kwa assumption kwamba niko mbwinde na sijazunguka Tanzania.Mzee baba sasa mwenye msongo wa mawazo kati yangu nawe ni nani?
Maana wewe ndio unatupa vijembe kwa mtu hata humjui...
Tamaa inamsumbua huyu mama.Pata picha JK
Huyu mother sijui ni njaa au tamaa kawa kama ndo chipukizi wa chama ndo anachipukia daa
Wewe ndo ulieanze ku reply comment yangu tena kwa assumption kwamba niko mbwinde na sijazunguka Tanzania.
View attachment 3426187Sasa hapo kati ya mimi na wewe nani anatupa vijembe?
Infact wewe ndiye uliyenitupia mimi vijembe kwamba naishi mbwinde ma sijazunguka Tanzania na ukanipa ushauri ambao sijakuomba kwamba nitoke huku mbwinde.
Narudia tena una msongo wa mawazo wai hospitali.
JK Inatakiwa amwambie mama atulie aisee aileti picha nzuriTamaa inamsumbua huyu mama.
Ni mimi na nlikuwa sahihi kukuandikia vile.Kwa maneno "Acha ujinga" yameandikwa na AI?
Nyinyi msiocheza ngoma na kujiongeza mbona mnalalamika mtu wa pwani kawazidi ujanja?Pwani wakobusy kucheza Ngoma tuu hawajiongezi
Ujanja gani? Wizwiz niujanja?Nyinyi msiocheza ngoma na kujiongeza mbona mnalalamika mtu wa pwani kawazidi ujanja?
Mlikuwa wapi nyie wasomi na wajanja mpaka mjinga anaanza kuiba?Ujanja gani? Wizwiz niujanja?